:hungry:
Jamani unaweza kutumia tatizo kusolve tatizo lingine mkulu, washangaa enhe?
I dont get u.I meant i'm Laughing Out Loud.is it a problem?
Kwa hiyo jamaa kajisifu kumbe anajisifia ujinga!!!! hahaaa, you have made my day!!!
Mkuu GAD ONEYA wapi pilau leo naona nyuma na visu mkononi, ila pilau shurti liliwe kwa mkono, ndizi nazo...:hungry:
Jamaa nafikiri alijua mkewe anabeba picha yake daily ili akajipatie maujiko kwa mashoga zake, kumbe sivyo.
Hizo ndio sifa za kijinga, ukizipenda unaumbuka..