Mke na mume walikuwa wanagomban.Mume akamwambia mkewe, "kusanya nguo zako na .....(kabla hajamaliza simu ya mkewe ikaita mkewe akapokea akawa anaongea na baba yake, Jamaa akamsikia baba mkwe anamwambia mkewe "Binti yangu nimeuza ile nyumba ya Dar sasa kesho nitawatumia milion 50 mfanye biashara na mmeo)" Alipokata simu Mke akamuuliza mumewe, "Ulisema nikusanye nguo zangu halaf...?"
Mume akajib, "kusanya nguo zako na ulete nikufulie" USICHEKE mjini mipango!