Kutumia condom kwa mkeo ni dharau kubwa,je mkeo kuwasiliana na mzazi mwenzake kwa kificho ni heshima kubwa?Wewe hapo ndio una Makosa kwa mtazamo wangu. Makosa kivipi?
1. Kuoa (Sijui umri wako ila under 40 mapema sana)
2. Kuoa tayari mtu anamtoto hafu BABA YAKE yupo hai na mzima (inabidi awe alifariki au yupo Milembe)
3. Kumchunguza mke wako.
4. Kutumia condom kwa mkeo iyo dharau aisee. Sijaona lakini mh iyo dharau kubwa.
5..
Hiyo namba 2,Wewe hapo ndio una Makosa kwa mtazamo wangu. Makosa kivipi?
1. Kuoa (Sijui umri wako ila under 40 mapema sana)
2. Kuoa tayari mtu anamtoto hafu BABA YAKE yupo hai na mzima (inabidi awe alifariki au yupo Milembe)
3. Kumchunguza mke wako.
4. Kutumia condom kwa mkeo iyo dharau aisee. Sijaona lakini mh iyo dharau kubwa.
5..
Mapenzi ni hisia. Sio tu ejaculation. Sasa mkeo, haumuamini, hafu unakula mzigo, mi nitakua akiniwekea style mpya naanza waza usikute hii style jana alimpa jamaa, yaani hisia zitakua mbali sana.. Itakua kama napiga nyeto aisee.Kutumia condom kwa mkeo ni dharau kubwa,je mkeo kuwasiliana na mzazi mwenzake kwa kificho ni heshima kubwa?
Kwakuwa naye anasoma hizi comments naamini atalifanyia kazi,aniache aendelee na maisha yake,mzazi mwenzake anapotaka kutoa huduma kwa mwanaye sio lazima awasiliane na yeye,kaka yake ambaye anaishi na mtoto yupo kwanini asiwe anawasiliana na huyo? Mke ni ni mume mmoja tu kuwasiliana na wanaume wawili hiyo ni ndoa ya wanaume wawili mimi sipo tayari.Wewe ndio mwenye matatizo, muache huyo mama endelea na maisha Yako.
Kama huwezi kuishi na mwanamke mwenye mtoto ni heri umuache! Ulijua ana mtoto tangu mwanzo, uchumi umebadilika unasema huwezi kumlea mtoto wake. Je ingekuwa ni wanao wote wawili na uchumi umebadilika ungefanyaje?
Huwezi kujisimamia kimaamuzi, umelazimisha mwenyewe waanze kuwasiliana.
Mwisho mwanamke mwenye mtoto hata umpe Kila kitu ila mtoto wake hapati huduma, hawezi kuridhika kuona yeye anaishi vizuri mtoto wake haishi vizuri au hajui kesho ya mwanae. Labda kama mwanamke asiyejitambua.
So wanaume kama hamuwezi kuwatunza wanawake wenye watoto ni heri muwaache tu, msiwaongeze mizigo ya watoto wengine Kisha muanze kuwageuka.
Sahihi kabisa,nilimwambia hivi akitaka mchezo akanunue condom tutumie namimi nikitaka nitaenda kununua condom,mpaka sasa hakuna aliyekwenda kununua condom ,tunatizamana tu.Mapenzi ni hisia. Sio tu ejaculation. Sasa mkeo, haumuamini, hafu unakula mzigo, mi nitakua akiniwekea style mpya naanza waza usikute hii style jana alimpa jamaa, yaani hisia zitakua mbali sana.. Itakua kama napiga nyeto aisee.
Nakubaliana nawewe 100%Wewe ndiye unamatatizo makubwa au ukosefu wa Akili Kabisa.
Mwanamke mwenye mtoto sio Mkeo pekee yako.
Ukioa mke mwenye mtoto elewa kuwa mzazi mwenzake pia ni Mumewe, mzazi mwenzake, Baba WA m/watoto wake.
Hivyo ni halali yake kuwasiliana Naye Kama sio kumpa haki zake za kindoa.
Usioe single mother Kama wewe sio single father.
Mtalaka hatongozwi.
Mengine yote ni kujifariji kama binadamu
Nakubaliana nawewe 100%
Si mmeoana? Msiachane. Kaeni muongee. Kuachana sio permanent solution.Kwakuwa naye anasoma hizi comments naamini atalifanyia kazi,aniache aendelee na maisha yake,
Funguka zaidi hapa mkuu.
Wewe ndo mwenye matatizo.Tulioana miaka kadhaa iliyopita na tumejaaliwa watoto wawili. tTulioana mke wangu akiwa na mtoto mmoja aliyezaa akiwa kwao. Miaka ya mwanzoni uchumi uliruhusu kutoa huduma hata kwa mtoto wake ambaye anaishi na mjomba wake, baada ya uchumi kuyumba nikamwambia mwenzangu ongea na shangazi yake mtoto amwambie kaka yake aanze kumhudumia mtoto wake.
Tumekubaliana tuje kwenu baada ya mvutano mkali,hatujataka yaende kwa majirani au kwingineko tukawapa faida,naye anafuatilia huu uzi.Uliwahi sikia Serikali ikiwalaumu wananchi?
Uliwahi sikia Wazungu wakiwalaumu Waafrika?
Uliwahi sikia Watawala wakiwalaumu watawaliwa?
Unapoingia kwenye mahusiano yoyote hakikisha wewe ndiwe tabaka la juu, unayepewa lawama.
Hakikisha wewe unakuwa mshtakiwa sio mshtaki.
Kama Mwanamke anakusumbua FUKUZA, Kama huwezi MPE kichapo akakushtaki huko atoe lawama yeye sio wewe.
Kulialia mtoto wa kiume ni kumaanisha huna mbinu, huna akili, umezidiwa steps.