Mke na mme nani zaidi?

Moo Click

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
3,495
Reaction score
3,254
Mume mvivu ameambiwa na mke wake mume wangu si unisaidie kazi za bustani

MUME: Kwani mi ni houseboy?

MKE: Basi nisaidie kutengeza mlango.

MUME: Kwani mi ni carpenter?

MKE: Basi nisaidie kutupa taka taka.

MUME: Kwani mi ni munisper? (mume aliporudi jioni)mke wangu nani amesafisha bustani,
akatengeza mlango na kutupa taka?

MKE: Ni jirani yetu Swaleh lakini alinipa options mbili nimpe wali ama nilale nae.

MUME: Hahahaha(kwa kujimini),najua ulimpa wali.

MKE: Nyooooooooo Kwani mi ni Hoteli? Nililala nae kwa taarifa yako.
 

Ngoma droo apo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…