Mkuu huogopi kumsema vibaya mwanakondoo ? Atakemea mapepo Sasa hivi ,,,, [emoji1787]Hutu tujamaa twa hivi tunakuwaga tumeshamaliza starehe weeee afu tunakuja na mkwala kusaka mke.
hapana mkuu tunatofautiana itikadiwaislamu hawaoleki au
unanionea si kila mtu kapita huko kwanza wengine huenda tulikuwa tunahangaika na maisha kwanzaHutu tujamaa twa hivi tunakuwaga tumeshamaliza starehe weeee afu tunakuja na mkwala kusaka mke.
Okay Mkuu. Kila la Heri.hapana mkuu
unanionea si kila mtu kapita huko kwanza wengine huenda tulikuwa tunahangaika na maisha kwanza
Hiyo sentensi ya mwisho napigia mstariKusali kwako kanisani hujaona mpka uje huku kwa wa mataifa? Nyie ndiyo mnaochezea watoto wa watu then mnawatelekeza , na lazima utakuwa mlokole type ya Gwajima.
ameenVigezo vyote nnavyo kasoro kwenye umri.kidogo nimepanda.BTW kila LA heri
si kila anaekuja hapa ni akili za guajima ahsante kwa mawazo yako finyuKusali kwako kanisani hujaona mpka uje huku kwa wa mataifa? Nyie ndiyo mnaochezea watoto wa watu then mnawatelekeza , na lazima utakuwa mlokole type ya Gwajima.
acha kuhukumu, boss. kama hajaona type yake kanisani, kama ktk makanisa yale madogo na ukutue vijana ni wachache. Muache bro, asake jiko humuKusali kwako kanisani hujaona mpka uje huku kwa wa mataifa? Nyie ndiyo mnaochezea watoto wa watu then mnawatelekeza , na lazima utakuwa mlokole type ya Gwajima.