Newtongift
Member
- Feb 21, 2014
- 93
- 5
Naamini mke anapatikana popote natafuta mwanamke mkristo mwenye hofu ya Mungu.Ili awe mama wa watoto wamgu mwenye kujua wajibu wake kama mama wa familia. Umri 20-27 elimu form4 na kuendelea.
Kwa aliye serious anipm meseji zote zitajibiwa
Kwa aliye serious anipm meseji zote zitajibiwa