Mke mwema anapatikana wapi?

Mke mwema anapatikana wapi?

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,933
Reaction score
34,912
Naomba kusaidiwa kwa hili limekuwa gumu kwangu.

Nimehudhuria semina nyingi za masuala ya urafiki, uchumba na ndoa lakini nimeshndwa kujua ni maeneo yapi ambayo ni sahihi kumpata mke.
 
Siku ukioa utajua mke mwema anapatikana wapi. Ila na wewe uwe mwema ndipo utampata mke mwema.
 
Naomba kusaidiwa kwa hili limekuwa gumu kwangu.

Nimehudhuria semina nyingi za masuala ya urafiki, uchumba na ndoa lakini nimeshndwa kujua ni maeneo yapi ambayo ni sahihi kumpata mke.

Huko ulienda semina sio kutafuta mkemwema
 
Naomba kusaidiwa kwa hili limekuwa gumu kwangu.

Nimehudhuria semina nyingi za masuala ya urafiki, uchumba na ndoa lakini nimeshndwa kujua ni maeneo yapi ambayo ni sahihi kumpata mke.
Ungekuwa na hela nyingi ungekuta ushapata mke
 
Naomba kusaidiwa kwa hili limekuwa gumu kwangu.

Nimehudhuria semina nyingi za masuala ya urafiki, uchumba na ndoa lakini nimeshndwa kujua ni maeneo yapi ambayo ni sahihi kumpata mke.
Ndugu yangu achana na semina tafuta kwanza hela nyingi mke atakuja mwenyewe tena siku ya kwanza tu utaanza kuitwa baby. Nakuhakikishia fanya hivyo sasa utaona matokeo.
 
Kibiblia mke/mume mwenye mwema mtu hupata kutoka kwa Bwana, maana yake Mungu ndiye anayehusika na kumpa mtu mke/mume mwema. Mungu pekee ndiye anayejua ni mwanamke yupi/mwanaume yupi anafaa kuwa mke/mume wa mwanaume/mwanamke fulani halafu ndiyo anayekupa huyo mtu.
 
Naomba kusaidiwa kwa hili limekuwa gumu kwangu.

Nimehudhuria semina nyingi za masuala ya urafiki, uchumba na ndoa lakini nimeshndwa kujua ni maeneo yapi ambayo ni sahihi kumpata mke.

mke mwema ni ubora uliopo kati kati ya mapaja yake
 
Hapo hapo ulipo mbona wapo wengi tuu. Laabda kama umeamua kuwa kipofu huoni
 
Truth be told, Jamii forums ni moja ya sehemu babkubwa sana kupata manzi aliyetulia. Kwa mtu makini, maandishi yanazungumza mengi sana. Na since wengi hatujuani, kila mtu anasema anachojisikia kulingana na upeo wake.

Only downside ni muonekano. Avi ni K.D. Aubert, na ndio picha unayojenga kichwani. T.I's wife in real life. Beware.
 
Maneno yako yanatakiwa yaambatane na kaushuhuda mpendwa, kwamba ulishaopoa mbebs mwema humu.... Ubarikiwe
 
Back
Top Bottom