funky anology
Member
- Oct 11, 2023
- 31
- 53
Cheche zipo!!Unagawio lako kwenye yale matrillion yaliyoibiwa??
Nani kakudanganya kuwa mke mwema anatoka jf?Sifa zangu
Elimu: degree
Kazi: nimejiajiri (phone accessories)
Mahali Kanda ya ziwa
Umri: 30
Dini: pentecoste
SIFA ZA MKE
Elimu: kuanzia form 4
Umri: chini ya 30
Dini: mkristo akiwa na vocal ya kuimba itapendeza zaidi
Awe mrembo na mwenye shepu yakuvutia
NOTE: ASIWE NA MTOTO KABILA LOLOTE
,,,,,,,,,Shape mhimu tabia tutarekebishana,,,,, imeisha hiyo!!!?
Mwenye sifa inbox please!!
Uko sahihi kulingana na akili yakoNani kakudanganya kuwa mke mwema anatoka jf?
Biblia ipo wazi "mke mwema anatoka kwa BWANA".
Nina mashaka na upendekost wako 😂
Uko sahihiMpentekosti wa kidigitali huko kanisani kwenu hakuna wanawake wenye Shepu?
Sema tu unataka mwanamke mwenye tyaakko!
Ukiwa mtu mzima utaachana kuanzisha thread ya kutafuta mke mwema jf.Uko sahihi kulingana na akili yako
Unique heart njoo hukuSifa zangu
Elimu: degree
Kazi: nimejiajiri (phone accessories)
Mahali Kanda ya ziwa
Umri: 30
Dini: pentecoste
SIFA ZA MKE
Elimu: kuanzia form 4
Umri: chini ya 30
Dini: mkristo akiwa na vocal ya kuimba itapendeza zaidi
Awe mrembo na mwenye shepu yakuvutia
NOTE: ASIWE NA MTOTO KABILA LOLOTE
,,,,,,,,,Shape mhimu tabia tutarekebishana,,,,, imeisha hiyo!!!?
Mwenye sifa inbox please!!
Unique heartSifa zangu
Elimu: degree
Kazi: nimejiajiri (phone accessories)
Mahali Kanda ya ziwa
Umri: 30
Dini: pentecoste
SIFA ZA MKE
Elimu: kuanzia form 4
Umri: chini ya 30
Dini: mkristo akiwa na vocal ya kuimba itapendeza zaidi
Awe mrembo na mwenye shepu yakuvutia
NOTE: ASIWE NA MTOTO KABILA LOLOTE
,,,,,,,,,Shape mhimu tabia tutarekebishana,,,,, imeisha hiyo!!!?
Mwenye sifa inbox please!!