MKE /MUME kutoridhishwa kwenye TENDO LA NDOA....Lawama kwa Nani?

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Inapotokea Mume au Mke haridhishwi na Tendo la ndoa na wapo kwenye ndoa,mahusiano nani abebe lawama..hapa kuna makundi yafuatayo unapochangia bezi kwa makundi.

>Kundi la kwanza,
Mume/Mke wote wafanyakazi..

Kundi la Pili.
Wote Mume/mke hawafanyi kazi.

Kundi la Tatu.
Mume mfanyakazi,Mke si mfanyakazi.

Kundi la Nne.
Mke mfanyakazi,Mume si mfanyakazi.
 
asiyeridhishwa alaumiwe.....kwa nini asiongee kuhusu kutoridhishwa
 
wote wanapaswa kujilaumu bila kujali nikundi gani kati ya hayo uliyoyapanga....kama mwenzi wako hakufikishi nawewe huzungumzi au humwambii unategemea atawezaje kubadilika!ukiwa ndani ya mahusiano halafu kuna jambo halikufurahishi jalibu kuzungumza na mwenzio kwani hakuna aliyezaliwa anajua bali nijuhudi tu zakujifunza!vunja ukimya zungumza na mwenzi wako.
 
Wana muda wa kukaa na kuyazungumza hayo. Isije ikawa kila mmoja ajiona bize zaidi ya Mwengne.
 
Wana muda wa kukaa na kuyazungumza hayo. Isije ikawa kila mmoja ajiona bize zaidi ya Mwengne.

kuzungumza na mwenzi wako mambo yatakayoboresha ndoa au uhusiano wenu silazima Iwe masaa sita!inaweza kuwa dk 10 kabla hamjaanza tendo husika!au muda mkiwa bafuni mnaoga unaweza ukaanzisha mazungumzo huku ukiwa na furaha tena ukionyesha hamu ya mpambano....wanandoa au wapenzi wasiopata muda wakutafakali p1 mambo ya msingi yakuimalisha uhusiano wao nihatari kwao kwani jambo dogo linaweza kuwasambalatisha!
 
kwenye mahusiano uwazi na ukwel ndo kila k2 ,wote wana makosa kwan asiyerizishwa anatakiwa aseme kwa mwanzie na uyo mwenzie kama anamjali na kumpenda mwenzake anatakiwa awe anafatilia je mwenzangu anarizika na nnayomfanyia ata kwa kuuliza baada ye shughul vp mwenzangu mzik ulikuwaje kila m2 anafunguka apo.
 
Back
Top Bottom