mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 619
- Thread starter
- #21
Mkuu acha ubaguzi wa kidini
sio ubaguzi mkuu ila ndiyo dini yangu sasa nitasemaje hata ukiwa tofaut ya dini na ukakubali kubadili haina tatizo.
Mkuu acha ubaguzi wa kidini
Nenda somalia
Huu sio uungwana kabisa,kama huna ushauri,kwanini umkejeli mwenzio?
Wangapi humu ndani wametafuta wake/marafiki wamepata?
Na hawakuambiwa waende Italian/Israel/Facebook na twiter?
Usitende jambo usilopenda kutendewa.
sio ubaguzi mkuu ila ndiyo dini yangu sasa nitasemaje hata ukiwa tofaut ya dini na ukakubali kubadili haina tatizo.
Povu jiiingi njoo nikufute
Povu jiiingi njoo nikufute
Utaarabu kitu cha bure mkuu!
Hauuzwi mlimani city wala karume.
itafika wakati kutakuwa na soko la waoaji na waolewaji mtu anaenda kuchagua kama mitumba pale ubungo.mmh kzi kweli sku wake wanatafutwa km mtu anataka kununua asset
Wandugu habari za leo,
Jamani mimi natafuta mwanamke umri kati ya 19-30 awe Muislam awe anajua maana ya maisha awe mpambanaji wa kutafuta maendeleo hata kama bado hajayafikia. Awe tayari kuingia kwenye ndoa baada ya taratibu nyingine kukamilika.
Please aliye serious tuwasiliane pm for more info