Habari zenu wana jukwaa,mimi kijana wa miaka 21,nimejiajiri natafuta mchumba wa kiislam ambae atakuja kua mke wangu umri wake ni 18-24,awe anaejielewa na mchapa kazi kama ukijiona unazo sifa unakaribishwa 0656899091.NB:ni kwa walio na huitaji tu,pia kama ujaelewa pita waaache watakaoelewa asanteni sana