Mke mmoja tu, hatoshi

Mke mmoja tu, hatoshi

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,606
*MKE MMOJA HATOSHI*

Mke Mmoja Si Mke,waume Nawaambia.
Mke Apendae Peke,mahaba Hajayajua,
anaogopa Wenzake,wasije Kumpindua.
Mke Mmoja hatoshi,kwa Mume Alotimia..

Ndoa Yataka Makeke,mke Kujifaragua..
Huba Mshike Mshike,mizunguKuipindua..
Sasa Yuko PekeYake,vipi Atajitambua..
Mke Mmoja Hatoshi,kwa Mume Alotimia..

Akisema kasirike,kichura tajilalia..
Siku kisemaAchoke,mto Utakumbatia..
Ikifika Ada Yake,wiki Yote Utalia..
Mke Mmoja Hatoshi,kwa Mume Alotimia.

Pia akijifungua,Au kwa maradhi pia.
Mume hapo utajua,Hekima yake jalia.
Wanne walotimia,Uadilifu kujua.
Mke Mmoja Hatoshi,kwa Mume Alotimia.

Allah na hekima zake,Amri hio kutoa.
Idadi ya wanawake,Mara nne yapitia.
Kila mmoja na wake,Wengine wapi takua.
Sitara kwa wote wake,Kuliko kuchepukia.

Haiwi kwa wajawake,Allahkuwadhulumia.
Ety kuongeza mke,Nidosarikwenyndoa.
Utakuwa na matatizo,si bure nakuambia
Mke Mmoja Hatoshi,kwa Mume Alotimia
 
Ungekua unaumiza kichwa kutafuta fursa za mafanikio na kuzitekeleza kama ulivyo angaika kutunga hii kitu na kuiweka hapa ungefika mbali sana zaidi ya hapo ulipofika mkuu
Wanaume wengi wana hulka ya kutumia tumia hawajui kutunza ( maintaining)
 
Ungekua unaumiza kichwa kutafuta fursa za mafanikio na kuzitekeleza kama ulivyo angaika kutunga hii kitu na kuiweka hapa ungefika mbali sana zaidi ya hapo ulipofika mkuu
Aisee hata meli angekuwa nayo,lakini ndiyo hivyo anafikiria kwa kichwa cha katikati ya miguu.
 
Ungekua unaumiza kichwa kutafuta fursa za mafanikio na kuzitekeleza kama ulivyo angaika kutunga hii kitu na kuiweka hapa ungefika mbali sana zaidi ya hapo ulipofika mkuu
wengine wanarizika walipofikia
 
Ungekua unaumiza kichwa kutafuta fursa za mafanikio na kuzitekeleza kama ulivyo angaika kutunga hii kitu na kuiweka hapa ungefika mbali sana zaidi ya hapo ulipofika mkuu
Mkuu japo si lazima kila mtu awe mbali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom