Mke mke mke

Mke mke mke

Textme

Member
Joined
Jun 29, 2014
Posts
19
Reaction score
12
Baada ya kuvumilia na kua na subira, natangaza rasmi kutafuta msichana atakae kua ubavu wangu wa maisha.
Sifa
Dini: mkristo
Umri: miaka 20-28
Tabia: upendo & mvumilivu
Umbo: la wastani
Kazi: ameajiriwa ama amejiarili
Sifa zangu nitamjibu atakae kua tiyari kuni PM
NB kama huna sifa potezea tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom