affinitytz
JF-Expert Member
- Feb 10, 2020
- 280
- 1,151
WanakujaWasalaam,
Watanzania wenzangu nakuja mbele yenu kwa ajili ya ombi hili la kumkuwadia(lobbying) kwa ajili ya huyu staff mwenzangu.
Walioko mtandaoni ni wale wale walioko huko mtaani.
Sifa za mtafuta mke
1. Miaka 35
2. Anaishi Dar es Salaam - Kigamboni
3. Ni muajiriwa katika Agency mojawapo ya Serikali
4. Elimu - Masters
5. Aliwahi kuishi na mwanamke na ana mtoto mmoja wa kike 6 years.
6. Sio mlevi, hanywi pombe kabisa.
Mwanamke anayemtaka
1. Mkristo
2. Awe anaishi Kigamboni
3. Umri 24 - 33
4. Akiwa na mtoto mmoja (Single parent) sio tatizo
5. Awe mfanyakazi au mfanyabiasha
6. Asiwe mlevi
Tafadhali njoo PM kwa walio serious tu.
Kwamba ana njaa sioMbona hasira sana?
Umekula usiku? Haya choma dawa ya mbu ulale imbecile. [emoji28]
Hili ni jukwaa la Love Connect, huyu si wa kwanza kuleta uzi wa namna hii.Jamaa anatafuta mke kama dhahabu. Huko Kigamboni haoni wanawake mpaka atafute huku? Mwambie kama hajui hawa wanaoandika huku wengine wako hukohuko Kigamboni..
Domo zege? Basi nshaelewa.. mkuu acha uzembe na kuzusha kutumia ujanja wa kizamani eti "staff mwenzako"
Staff mwenzako ni wewe, acha ukumbaf basi..
Yani staff mwenzako atafute mke, ila aliye interested aingie kwenye inbox yako...?
Hawezi kutongoza huyo rafiki yako?Wasalaam,
Watanzania wenzangu nakuja mbele yenu kwa ajili ya ombi hili la kumkuwadia(lobbying) kwa ajili ya huyu staff mwenzangu.
Walioko mtandaoni ni wale wale walioko huko mtaani.
Sifa za mtafuta mke
1. Miaka 35
2. Anaishi Dar es Salaam - Kigamboni
3. Ni muajiriwa katika Agency mojawapo ya Serikali
4. Elimu - Masters
5. Aliwahi kuishi na mwanamke na ana mtoto mmoja wa kike 6 years.
6. Sio mlevi, hanywi pombe kabisa.
Mwanamke anayemtaka
1. Mkristo
2. Awe anaishi Kigamboni
3. Umri 24 - 33
4. Akiwa na mtoto mmoja (Single parent) sio tatizo
5. Awe mfanyakazi au mfanyabiasha
6. Asiwe mlevi
Tafadhali njoo PM kwa walio serious tu.
Hapa hakuna penzi unatafuta spea kama spea za magariWasalaam,
Watanzania wenzangu nakuja mbele yenu kwa ajili ya ombi hili la kumkuwadia(lobbying) kwa ajili ya huyu staff mwenzangu.
Walioko mtandaoni ni wale wale walioko huko mtaani.
Sifa za mtafuta mke
1. Miaka 35
2. Anaishi Dar es Salaam - Kigamboni
3. Ni muajiriwa katika Agency mojawapo ya Serikali
4. Elimu - Masters
5. Aliwahi kuishi na mwanamke na ana mtoto mmoja wa kike 6 years.
6. Sio mlevi, hanywi pombe kabisa.
Mwanamke anayemtaka
1. Mkristo
2. Awe anaishi Kigamboni
3. Umri 24 - 33
4. Akiwa na mtoto mmoja (Single parent) sio tatizo
5. Awe mfanyakazi au mfanyabiasha
6. Asiwe mlevi
Tafadhali njoo PM kwa walio serious tu.
Kama wewe ni mwanaume basi una tabia za kike.Jamaa anatafuta mke kama dhahabu. Huko Kigamboni haoni wanawake mpaka atafute huku? Mwambie kama hajui hawa wanaoandika huku wengine wako hukohuko Kigamboni..
Domo zege? Basi nshaelewa.. mkuu acha uzembe na kuzusha kutumia ujanja wa kizamani eti "staff mwenzako"
Staff mwenzako ni wewe, acha ukumbaf basi..
Yani staff mwenzako atafute mke, ila aliye interested aingie kwenye inbox yako...?
B. W. E. G. E7.Domo zege
KishoiyaB. W. E. G. E
Na wewe kama ni mwanaume basi una tabia za kishoga...Kama wewe ni mwanaume basi una tabia za kike.
Kama ni mwanamke endelea na hizo stress zako.
Mleta mada kanielewa na kunishukuru, wewe nini kinakuwasha?Hili ni jukwaa la Love Connect, huyu si wa kwanza kuleta uzi wa namna hii.
Mbona una hasira naye au unamfahamu?
Wewe sio domo zege unafanya nini humu?
Mbona unashindwa kuelewa maana ya Social forums.
Ukishampata huyo kondoo bwege, ndio utajua kwanini dunia ni tambara bovu... unatafuta bwana kwa tiketi ya uwakilishi... mbegelez...Mbona hasira sana?
Umekula usiku? Haya choma dawa ya mbu ulale imbecile. [emoji28]
Mbona mimi ulinikatalia?Ulevi umenikosesha mume
We ulitaka kunila kimasihara hukutaka mkeMbona mimi ulinikatalia?
Mkuu hata wanawake wafupi anachukua?Wasalaam,
Watanzania wenzangu nakuja mbele yenu kwa ajili ya ombi hili la kumkuwadia(lobbying) kwa ajili ya huyu staff mwenzangu.
Walioko mtandaoni ni wale wale walioko huko mtaani.
Sifa za mtafuta mke
1. Miaka 35
2. Anaishi Dar es Salaam - Kigamboni
3. Ni muajiriwa katika Agency mojawapo ya Serikali
4. Elimu - Masters
5. Aliwahi kuishi na mwanamke na ana mtoto mmoja wa kike 6 years.
6. Sio mlevi, hanywi pombe kabisa.
Mwanamke anayemtaka
1. Mkristo
2. Awe anaishi Kigamboni
3. Umri 24 - 33
4. Akiwa na mtoto mmoja (Single parent) sio tatizo
5. Awe mfanyakazi au mfanyabiasha
6. Asiwe mlevi
Tafadhali njoo PM kwa walio serious tu.
Jamaa anatafuta mke kama dhahabu. Huko Kigamboni haoni wanawake mpaka atafute huku? Mwambie kama hajui hawa wanaoandika huku wengine wako hukohuko Kigamboni..
Kama umesoma vizuri masharti yake, mke atafutwaye ni lazima awe anaishi Kigamboni... au kasha-edit?Huoni kuwa kwa kufanya hivyo hata sisi tulioko Nanjilinji huku tunapata nafasi ya kuweza kuwa mke wa huyo jamaa wa Kigamboni? Nadhani hii ni njia nzuri zaidi kuliko ya kujifungia wigo wa kijiografia.