Bila kuelewa undani wa mahusiano yenu ni ngumu kushauri.....Ila kumbuka kama anatoka nje kutafuta upendo (kama anaukosa kwako) nirahisi kumgundua akiupata,,,,,na kama anatoka kwa sababu zingine ie kiuchumi,kisiasa (mf kulipiza kisasi) ni ngumu kumkamata au kumgundua ....KAZI KWAKO ...FUNGUKA