Mi nafikiri ifike wakati wanaume tujifunze kuwasugua wake zetu na kuwabandika kucha the same to wanawake wajifunze kuwafanyia massege waume zao pengine tunaweza kupunguza tatizo hili. Vinginevyo wale jamaa wataendelea kuwala wake za watu. Tena unakuta wake za watu wanachukia had I namna za simu za Hawa mafilauni ni habari sana