mke kusema imetosha anamaanisha nini

mke kusema imetosha anamaanisha nini

matatu

Senior Member
Joined
Nov 23, 2012
Posts
161
Reaction score
15
Katikahali isiyoya kawaida mnakuwa ktk shuguli zamikono kitandani picha likiwa halijaanza mwenzio anakuambia imetosha NA mazoea hataki tenaimekaaje wataaliuma NA wahitimu
 
1.Yawezekana hauko katika mazingira ya usafi ,
2. kachoka na kazi za siku nzima,
3. hajisikii kuwa na wewe muda huo.
4.Hauna jipya hata mkiendelea utamchosha tu.
5. Anakereka na unachofanya.
Mambo ni mengi ambayo yanaweza sababisha hali hiyo.
Subiri watakuambia wataalamu.
 
kwanza utueleze kama umeshao au la isije ikawa tunaongea na under 18 itakuwa useless.
 
huna jipya kwa six by six, kashapewa full dose huko alikotoka!
 
Anamaanisha kazi ya mikono inatosha, sasa muanze kazi ya vikojoleo.
 
Back
Top Bottom