Mke kuogopa kumuomba "unyumba" mume kisa asionekane mhuni

Huyu wa kwangu ni tofauti sana maana yeye akitaka kama ni mchana na tupo job utakutana na vimeseji vya uchokozi

"mpenzi jiandae maana tuna kazi leo jioni"

"nawashwa baby, tukirudi tukunane"

"last week ulinipinda vizuri"

Nikishapata meseji kama hizi lazima niwahi kurudi nyumbani.

Na mkishaingia ndani tu basi hapo atakuanzishia uchokozi mpaka na wewe hamu ya kutimiza kiapo cha ndoa inakuja.

Ila kama ni usiku, utaona maandalizi yake kabla ya kuja kitandani.

Hiyo siku hawezi kulala na night dress ya kawaida, na lazima atakushika mkono kukupeleka bedroom kabla aridhio ya TBC haijaisha.
Nishazoea siku hizi huwa naambiwa tu "twende tukamalizie aridhio bedroom"

Ukifika huko utafanyia utundu mpaka una timiza lengo.

NOTE: Kwa walio na ndoa za muda mrefu kiasi ni rahisi sana kupitisha wiki tatu mpaka mwezi bila kupeana haki ya ndoa.

Kwa sababu zifuatazo
1. Kuna wanawake wanadhani kuwa tendo ni kwa ajili ya mwanaume tu.

2. Na sisi wanaume tukiona mke hana interest na tendo la ndoa huwa tuna assume kuwa hajisikii kufanya.

3. Ni vyema kwa wanandoa kuwa na mawasiliano ya wazi kwenye mahitaji ya tendo la ndoa.
Wamama real Wana hii kasumba ya kuamini eti gegedo ni mali ya mme mpaka atake ndo wafungue pochi! Sasa wenzao wakivifungua vipochi vyao huko nje wanalalamika!
 
Heee, weekend moods😀😀 mpaka panya atapikwe?? Akii umenichekeshaa
eeh Rungu imara JEUSiiiiii Tii LinaMeremeta na Linanesa nesa.
Maana Panya ni kitoweo afu pussy anakula kitoweo anataka ugali uliwe mkavu eeh Hapanaaa Pussy lazma apigwe Rungu mbili tatu za Shavu alie nyauuuu ili aseme wapi panya ilipo.
 
Wanawake niwaibie Siri pia. Hizo nyumba ndogo moja ya limbwata zao ni:
1. Kuomba game kwa uwazi kabisa.
2. Kuwa Malaya kitandani kwa wanaume zenu.

Ninyi mnaosubiri mpaka muanzwe, subirini. Mwanaume kuomba kila siku yeye tu, anahisi labda hutaki/kutojisikia. Hapo ndo kunazaliwa wazo baya Sana kichwani kwa mwanaume, kwenu wanandoa kuwa anamlazimisha mkewe.

NB: Mapenzi ya kinafiki hayana ukweli na uwazi
wewe kweli mwisho........yaani umetoa siri zote za kambi ya jeshi...
 
eeh Rungu imara JEUSiiiiii Tii LinaMeremeta na Linanesa nesa unaligusisha kwa Pussy mpaka atoe chuzi sotojo jojojojo... 🎤🎼🎼Huku unamuuliza Pussy taratiiiibu "yule Panya utatoa hutoiii/ nauliza utatoa hutoiii/ x2🎤🎼"
Maana Panya ni kitoweo afu pussy anakula kitoweo anataka ugali uliwe mkavu eeh Hapanaaa Pussy lazma apigwe Rungu mbili tatu za Shavu alie nyauuuu ili kumuamsha afu aseme wapi panya ilipo.
Duh, hatari sanaa
 
Back
Top Bottom