Binafsi nina miaka 30-34 naishi dar
Elimu yangu ni shahada ya kwanza
Dini ni mkiristo
Ninahitaji mwanamke ambae atakuwa mke wangu wa ndoa awe mkiristo kama mimi na umri kuanzia 24-26 asiwe na mtoto maana binafsi pia sina mtoto ajiandae kwa ndoa kabisa pale mazungumzo yetu yakiendana.asante