Mke jamani nahitaji

SOSTENESS

Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
19
Reaction score
1
Nina umri wa miaka 37 nahitaji mke mwema mwenye umri wa kuanzia miaka 26-40 Elimu yangu ni Diploma, ni mjasiriamali, Mke mtarajiwa awe hajazaa, awe muislam au mkristo, asiwe mfupi awe saizi ya kati au mrefu, elimu yake iwe kuanzia form 4 na kuendelea, asiwe na tamaa ya pesa, awe tayari kwenda kupima Ukimwi mara 3, asiwe na mtandao mkubwa wa marafiki wanao penda kujirusha. Karibuni
 
Mkuu inaonekana una ukame?? Make unapost kila wakati???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…