Mke bora wa kuoa

Mke bora wa kuoa

TOURMALINE

Senior Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
125
Reaction score
24
Narudi kwenu tena waungwana.Bado cjampata ninayemtafuta.Naombeni msada wenu wa hali na mali.
 
Narudi kwenu tena waungwana.Bado cjampata ninayemtafuta.Naombeni msada wenu wa hali na mali.

Natafuta mke wa kuoa, vigezo ni kama ifuatavyo, 1. Awe muislam, mcha mungu, miaka 22-25 2.Awe mwalimu kuanzia primary 3.Awe mwembamba wastani, c mrefu, c mfupi, maji ya kunde au mweupe 4.mtanashati, mkarim, mcheshi, kabila lolote lakn licwe la kanda yaziwa. 5.Acyependa makuu,

kigezo namba mbili.. ticked! waalimu wameshaajiriwa sasa.. wahi nafasi!

hapo namba tatu ndipo ulipofeli kijana... no woman who is that much wafekti!!
 
akikuoa ww asiwe na wivu kwasababu kwa jinsi ulivyo kila mwanaume lazma atakutaman hata awe hanith
Atanunua gobore, nyumba aizungushe mizinga ya nyuki,na papuchi aifungie mita anaweka units anatumia zote...
 
Msaada wa hali ni huu wa mawazo na ushauri unaoupata hapa ila wa mali itakuwa ngumu tena sana
 
Back
Top Bottom