Mke atanikimbiza nyumba

Mbona Mkuu hayo sio makubwa, kaanae chini mueleze kua wewe na yeye nikitu kimoja na hakikisha unampa hela ya matumizi ya nyumbani na hela ya matumizi yake yeye,umbea anakua hana kazi yakufanya ukimpa kazi au ukiwa nyumbani umbea ataunza saangapi? kuhusu Papuchi muandae mapema mdekeze mkeo masaidie vijikazi vidogo vidogo kama mko ndani anza kumfanyia massage mkeo mshukuru kwakukutunzia wanao na yeye kujitunza yani yapo mengi lakini ukienda kama mwanajeshi wa JWTZ hakupi hata uki ukumbatia mbuyu kwa mikono yako miwili..............
 
Kaa nae chini zungumza nae taratibu juu ya tabia na mwendo wake akikataa tafta wazee/mshenga wako wamkanye
 
kwani kabla ya ndoa na mwanzoni mwa ndoa yenua alikuaje?
 
Daaaa mkuu pole sana! Nadhani umeingia choo cha kike!Toka fasta wenyewe wasijekukuta humo!
 
ni heri kukosea kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa
 
Hukuyajua hayo tangu enzi za upenzi/ uchumba?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…