M mr handsome Member Joined Aug 10, 2015 Posts 8 Reaction score 0 Aug 15, 2015 #1 Mimi ni mtu wa umri wa kati ninayetafuta mchumba/mke anayejitambua kama unajitambua ni pm tufahamiane uwe mke wangu.
Mimi ni mtu wa umri wa kati ninayetafuta mchumba/mke anayejitambua kama unajitambua ni pm tufahamiane uwe mke wangu.
B Boss Brother Member Joined May 26, 2015 Posts 12 Reaction score 5 Aug 15, 2015 #3 kwechu said: zwiiiiiiii Click to expand... unalo.
Apologise lady JF-Expert Member Joined Sep 16, 2013 Posts 5,980 Reaction score 3,115 Aug 15, 2015 #4 1. Wew unajitambua??? 2. Unafanya kazi wapi??? 3. Account yako hadi leo jion inasoma kiasi gani!?? 4.una ndugu wangapi wanaokutegemea???
1. Wew unajitambua??? 2. Unafanya kazi wapi??? 3. Account yako hadi leo jion inasoma kiasi gani!?? 4.una ndugu wangapi wanaokutegemea???
M mamii1 JF-Expert Member Joined Feb 1, 2015 Posts 286 Reaction score 126 Aug 15, 2015 #5 Umri wa kati ndio miaka mingapi? Unajiita handsome tupia picha basi!
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,936 Aug 15, 2015 #6 mr handsome said: Mimi ni mtu wa umri wa kati ninayetafuta mchumba/mke anayejitambua kama unajitambua ni pm tufahamiane uwe mke wangu. Click to expand... Kwa hiyo unataka hata wake za watu.
mr handsome said: Mimi ni mtu wa umri wa kati ninayetafuta mchumba/mke anayejitambua kama unajitambua ni pm tufahamiane uwe mke wangu. Click to expand... Kwa hiyo unataka hata wake za watu.
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,936 Aug 15, 2015 #7 Apologise lady said: 1. Wew unajitambua??? 2. Unafanya kazi wapi??? 3. Account yako hadi leo jion inasoma kiasi gani!?? 4.una ndugu wangapi wanaokutegemea??? Click to expand... Namba 2 na 3 zimekaa kimachame machame ndani ya karne ya 21.
Apologise lady said: 1. Wew unajitambua??? 2. Unafanya kazi wapi??? 3. Account yako hadi leo jion inasoma kiasi gani!?? 4.una ndugu wangapi wanaokutegemea??? Click to expand... Namba 2 na 3 zimekaa kimachame machame ndani ya karne ya 21.