Mke anataka kazi mume ananifuatilia nimfanyeje

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
3,133
3,574
Habari za siku wana MMU!
Nikiri yakuwa nilipotea kiasi ndani ya jukwaa hili pendwa ila leo nimerejea tena baada ya mkasa huu wa kishamba!

Mimi ni mjasiria mali na nina office zaidi ya tatu hapa mjini Dar es Salaam sasa bhana moja ya office zangu kuna binti alikuwa anakuja kwa dada yake ambaye ni jirani yani biashara zetu zinatazamana sasa akamtumia dada yake amuombee fursa ya kazi kwenye moja ya office zangu nafasi yeyote ninayoiona inamfaa nikamjibu kwa sasa sina ila nitaangalia kwa jamaazangu kama watamwitaji akasema sawa.

Nikapata safari ya nje ya nchi kwa miezi miwili yule binti akaomba namba yangu akaandikiwa mara naona text "Habari za leo boss mimi Lecho" nikamjibu safi tu za siku mpendwa akasema salama.

Sasa leo asubuhi naona simu ngeni "inaniuliza nani mwenzangu nimeona namba yako kwenye kikaratasi umemwandikia mke wangu wewe ni nani"?
Nikamjibu wewe ndiye unapaswa kujitambulisha kwakuwa umenipigia anasema anataka anione.

Nimetafakari huyu mswahili anawezaje kunisumbua na kimke chake ambacho sijawahi hata kuvutiwa naye nimetafakari nikaamua nimweke ndani hata week moja sijui na nyie wadau mnanishauri nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huna haja ya kumweka mwanaume mwenzio ndani...kama ni punga we mchunie tuu...au nimekuelewa vibaya....kuna mapunga smart...ukimaliza kulishughulikia na lenyewe linakutaka...uko tayari?? tumia busara kuliko pupa...
 
Habari za siku wana MMU!
Nikiri yakuwa nilipotea kiasi ndani ya jukwaa hili pendwa ila leo nimerejea tena baada ya mkasa huu wa kishamba!

Mimi ni mjasiria mali na nina office zaidi ya tatu hapa mjini Dar es Salaam sasa bhana moja ya office zangu kuna binti alikuwa anakuja kwa dada yake ambaye ni jirani yani biashara zetu zinatazamana sasa akamtumia dada yake amuombee fursa ya kazi kwenye moja ya office zangu nafasi yeyote ninayoiona inamfaa nikamjibu kwa sasa sina ila nitaangalia kwa jamaazangu kama watamwitaji akasema sawa.

Nikapata safari ya nje ya nchi kwa miezi miwili yule binti akaomba namba yangu akaandikiwa mara naona text "Habari za leo boss mimi Lecho" nikamjibu safi tu za siku mpendwa akasema salama.

Sasa leo asubuhi naona simu ngeni "inaniuliza nani mwenzangu nimeona namba yako kwenye kikaratasi umemwandikia mke wangu wewe ni nani"?
Nikamjibu wewe ndiye unapaswa kujitambulisha kwakuwa umenipigia anasema anataka anione.

Nimetafakari huyu mswahili anawezaje kunisumbua na kimke chake ambacho sijawahi hata kuvutiwa naye nimetafakari nikaamua nimweke ndani hata week moja sijui na nyie wadau mnanishauri nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa wewe umeona kikaratasi chenye namba ya simu ngeni ungelifanya nini????
 
Back
Top Bottom