Mke anatafutwa

Mke anatafutwa

KRS

Member
Joined
Sep 9, 2014
Posts
32
Reaction score
5
Mimi ni kijana,mwenye umri wa miaka 32, mtanashati, muelewa, mwajiriwa wa serikali.

Natafuta mwenza wa kike ambaye atakuwa mke wangu, awe at least Diploma level and above, awe mweupe kiasi, mwenye shape ya nzuri ya kibantu, mwenye hofu ya mungu, mwisho awe na tabia nzuri, aliye serious tu ani PM
 
Kwa sifa hizo ulizotaja hawajakuona tu huko kwenu?
 
Usiseme mtanashati,mademu wa huku wanataka hela kenge wewe,huko kwenu mko madume tu?mmxxxxuuuu
 
Mimi ni kijana,mwenye umri wa miaka 32, mtanashati,muelewa,mwajiriwa wa serikali,.Natafuta mwenza wa kike ambaye atakuwa mke wangu,awe at least diploma level and above,awe mweupe kiasi!! mwenye shape ya nzuri ya kibantu,mwenye hofu ya mungu,mwisho awe na tabia nzuri,aliye serious tu anipm!!!

hahahahaaa.. illusion, stop dreaming, akiwa na vigezo highlighted hawezi kuwa na hofu ya Mungu na tabia njema.. akiwa navyo hawezi kuwa single had sasa... not in today world
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom