Kila la la kheri katika upataji wa mke bora ila kwenye andiko lako tayari nimeona umetangaza kununua matatizo mawili makubwa.
Awe na watoto ,hapa automatically unakwenda kubeba mzigo usiokuhusu na ambao tija yake kwa kizazi hiki cha leo hutokaa uione .
Pesa ya mwanamke haijawahi kuwekea guarantee kumaliza au kuchangia kuyamudu majukumu ya ndani
.Namaliza kwa kusema kuoa kwa kizazi hiki ni ubatili tu nataman kua single ila ndio baasi tena