Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Nitaenda kuoa kijijini kwetu kule hawajaeleimika bado sio hivi vichwa vilivyosoma Law school vitakuja nitesaSHERIA YA NDOA, SURA YA 29 KIFUNGU CHA 64(1), (2) and (3).
Sheria ya ndoa chini ya kifungu tajwa hapo juu inamruhusu mwanamke ambaye ameolewa katika ndoa halali inayotambulika kisheria, KUKOPA fedha kwa jina la mumewe, au kuibadilisha mali ya mumewe inayohamishika kuwa fedha na kuitumia katika mazingira ya ulazima wa kufanya hivyo kutokana na mahitaji ya lazima ya mke au watoto halali wa ndoa.
Katika kukopa fedha au kuuza mali, ulazima wa kufanya hivyo ni lazima uthibitike, na kiwango cha mkopo wa fedha lazima kiendane na kipato cha mume.
Hivi ndio vichwa vya kuoa sasa kwa sababu kwanza vinahamasisha na kuchochea maendeleo ya familia pili ukivipa maelekezo ni rahisi kuyafuata na kutekeleza kwa ufanisi mkubwa maana maelekezo mengine konki kaka sio ya kupewa kila kichwa.Nitaenda kuoa kijijini kwetu kule hawajaeleimika bado sio hivi vichwa vilivyosoma Law school vitakuja nitesa
Huyo ni mjasiriandoa. Hamna mke humo.Kuna mwanamke mmoja alikopa bila mwanaume kujua,matokeo yake nyumba imeuzwa na wamerudi kupanga huku mwanaume hajui lolote
Womenizer natika ubora wakoHivi ndio vichwa vya kuoa sasa kwa sababu kwanza vinahamasisha na kuchochea maendeleo ya familia pili ukivipa maelekezo ni rahisi kuyafuata na kutekeleza kwa ufanisi mkubwa maana maelekezo mengine konki kaka sio ya kupewa kila kichwa.
Hahahaaaaa hilo jina ni la hovyoWomenizer natika ubora wakoall the best
Nitaenda kuoa kijijini kwetu kule hawajaeleimika bado sio hivi vichwa vilivyosoma Law school vitakuja nitesa
Fikiri kama mke wa kaka yako amefanya hivyo, utajisikiaje!?Jambo nzuri
Nitajisikia vizuri mkuuFikiri km mke wa kaka yako amefanya hivyo, utajisikiaje!?