Goodvision
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 858
- 467
Tatizo ID yakoAwe:
●Dini yoyote ila asiwe na msimamo mkali
●Kabila lolote
●Miaka 31 kushuka chini
●Elimu form 4 na kuendelea
●Kazi yoyote (si lazima)
●Awe tayari kuishi Mahali popote Tanzania au nje(anifuate nilipo)
●Ahakikishe amejikana mwenyewe na kujitwika msalaba wa uaminifu kisha anifuate
♡Ukiwa na hizi sifa njoo PM ambako tutapeana namba tuweze kufahamiana vizuri na maisha yaanzie hapo
MIMI:
●Mkristo
●miaka 31
Sifa zangu zingine nitakupa PM ila usiogope ni Raia mwema,mcha MUNGU, najishughulisha na nina malengo makubwa.
Kwa sasa naishi mkoa mmojawapo kanda ya kusini mwa Tanzania na huyo atayekuwa mke wangu awe tayari kuja tuishi huku.
Karibu
Unatafuta mke kweli au unataka kuwajua yatima wa mapenzi wa humu ndani 😂Watu wamelielewa
Nimecheka saaaanaMke anahitajila haraka [emoji849]tangazo km la mtu anayehitaji damu!!
Angalia majibu yako maana unaowajibu ndiyo visura au Pisi kali za JF! Muombe msamaha JolineWatu wamelielewa
Na wewe, hiyo avatar inafukuza Wateja!Unatafuta mke kweli au unataka kuwajua yatima wa mapenzi wa humu ndani 😂
WatajijuNa wewe, hiyo avatar inafukuza Wateja!
This is a proof of jokes jamaa anatuchora tu.Nimecheka saaaana
Mada imekuja na kasi ya ajabuKwanini boss
Shemeji ina maana hadi sahivi bila bila?? Hamna anaetaka kuja kula korosho na maembe??Watu wenyewe kama hao kina Evelyn Salt bora wavunge tu [emoji38][emoji38]
🤣🤣🤣 Mimi au huyo mkeo sasa???Utakuwa tayari kwenda sudan?
Acha hizo, mimi nasubiri pilau mwaka huu kabla haujeshaWatajiju
Daaa [emoji1783][emoji1783][emoji1783]Mkuu upo speed ngiri akasome
Sasa wewe sii unachagua jamani kwani umeambiwa wato utaendana nao. Pick one bwana ala siku zinaenda watu twataka kula pilau ebooSasa wote nitawaweza kweli kilasiku unanambia mume Huyo 😀
Mbona mm Nina mpenz siku nying labda nikamroge Sasa nimboost 😂😂😂Sasa wewe sii unachagua jamani kwani umeambiwa wato utaendana nao. Pick one bwana ala siku zinaenda watu twataka kula pilau eboo
Wee mroge tuu sie tule pilau bwana ngoja ngoja yaumiza matumboMbona mm Nina mpenz siku nying labda nikamroge Sasa nimboost 😂😂😂
Bas usijali kwakuwa umenipa ruksa subir mpunga 😀Wee mroge tuu sie tule pilau bwana ngoja ngoja yaumiza matumbo
Ah wee mie natania usije mroga mtoto wa watu bureBas usijali kwakuwa umenipa ruksa subir mpunga 😀