Haya ni matangazo sasa, muweka mada hujui kwamba wanaume wa dizaini hii ni adimu sana huku bongo?
Mhhhhhh????
mmmmh! Umewahi kutana na wangapi na wote wakakuacha na genye?
Labda huyo uliye naye.. Kama huamin ni pm namba yako nikutafute kwa mtanange
"dear say something please, Honey Faith"
Huu mguno waashiria nini?
Naona Umenyegeka Ghafla Kwa Mguno
Haya nyie watoto wa kike
huku someni hii..
Mwanamke mmoja wa Uganda amemkimbia mume wake kutokana na mahitaji
makubwa ya tendo la ndoa. Tukio hilo limewashangaza watu wengi wa Uganda
baa ya Ruth Nakyeyune kumkimbia mume wake alietajwa kuwa ni Sultan Ali
Baba.
Ugomvi wa wawili hao umefikishwa katika kituo cha polisi cha Bulenga
ambako mama huyo alimuomba mume wake waachane kutokana na kushindwa
kumudu mahitaji ya mume wake. Naomba kuachana na ndoa hii kwa kuwa
mahitaji ya tendo la ndoa yamekuwa makubwa na ya mara kwa mara mama
huyo alitoa kauli hiyo katika kituo hicho cha polisi.
Mama huyo alisema hawezi kuendelea kuvumilia hali hiyo kwa kuwa
anapomwambiwa hawezi kufanya hivyo ugomvi mkubwa hutokea kati ya wawili
hao. Nakyeyune alisema inapotokea anaumwa au hajisikii kufanya tendo
hilo, Sultan anabadilika na kukataa kuzungumza nae kwa siku kadhaa.
Kwa upande wake Sultan alisema mke wake amekuwa akimdanganya na
anashindwa kueleza ukweli kwamba ameshindwa kukidhi mahitaji yake. Mara
nyingi amekukwa akiomba msamaha na wakati mwingine amekuwa akitishia
kujiua wakati ninapohitaji huduma alisema Sultan.
Alisema yeye ni mume mwema kwa kuwa hanywi pombe kama walivyo wanaume
wengine na anashangaa kwa nini mke wake anashindwa kumtosheleza licha ya
kuwa na sifa hiyo.
Sultan alisema anashangaa kwa nini mke wake aliamua kuwaacha wazazi
wake na kuamua kuolewa na yeye huku akijua hana uwezo wa kutekeleza
jukumu hilo ipasavyo.
Rafiki wa Sultan alisema ni kweli mama huyo alikimbia nyumbani kutokana
na mume wake kuwa na mahitaji makubwa na alifafanua kwamba wake zake
wawili wa zamani walimkimbia kutokana na dozi kuwa kubwa. Maneno
yote anayozungumza huyo mama ni tuhuma za kawaida, lakini ukweli ni
kwamba anamuogopa mume wake. Na si malalamiko ya kwanza kwani amekuwa
akilalamika mara kwa mara alisema rafiki huyo.
Baada ya mazungumzo ya muda mrefu, Sultan alimuomba mke wake arejee
nyumbani kwa ajili ya kuwatunza watoto, lakini mama alikataa.
Wivu sina ila roho inaumaje sasa...
Angekuja bongo angemkumbuka sultan,huku bongo unaachwa na genye lako daily!
Angekuja bongo angemkumbuka sultan,huku bongo unaachwa na genye lako daily!
Mhhhhhh????
usije ompa poo na wewe nikishakuweka ndani
Nakumbuka mwaka 2004 cta sahau, ilibaki kidogo niite watu. Nilimpiga mashine binti mmoja alikuwa akilalama sn baada ya mda nikackia kimya, hadi nilipo maliza mm binti hakuweza kuinuka, nikafikiri amezimia, kwakua nlikua napga dog style huku kajilaza ikabidi nimgeuze maana hata kugeuka alikua hawez, akaniambia nenomoja tu kuwa amechoka. Nikakimbia kununua glucos. Kweli kuna kila sababu ya kumfikiria na mwenzi wako mnapokua kunako majamboz, km mm ningeendelea ingekua muder case.Tupo Wanaume Wa Dizaini Hiyo Kama Mie Mpaka Useme Tosha Baby Zimekwisha Ndo Nakuacha Otherwise Usiposema Tunakesha Mwanzo Mwisho
Nakumbuka mwaka 2004 cta sahau, ilibaki kidogo niite watu. Nilimpiga mashine binti mmoja alikuwa akilalama sn baada ya mda nikackia kimya, hadi nilipo maliza mm binti hakuinuka, nikafikiri nimeua, kwakua nlikua napga dog style huku kajilaza ikabidi nimgeuze maana hata kugeuka alikua hawez, akaniambia nenomoja kuwa amechoka. Nikakimbia kununua glucos. Kuna kola sababu ya kumfikitia na mwenzio unspokia kunako majamboz km mm ningeendelea ingekua muder case.
Sheria ichukue mkondo wake dhidi ya mume asiyeridhishwa na mkewe.
Palikuwa na kituko cha mwaka kilichotukia katika kituo cha polisi bulenga, wakati mwanamke mmoja alipokuwa akiomba poo na huku akimtaka mumewe amsamehe na kumwachilia aende zake kutokana na mumewe kuwa na hamu ya kufanya ngono isiyo na koma.
Ruth Nakyeyune,alikuwa akilia na hanyamazishwi kwa madhila apatayo kutoka kwa mumewe huku akimuomba mumewe mwenye asili ya Nigeria bwana Sultan Ali Baba kwa pamoja ni wakaazi wa Nakuwade Bulenga,karibu na barabara ya Mityana, mwanamke anaomba poo na mwenyekusema basi yatosha na kutaka waachane kila mmoja ashike hamsini zake.
Bi Nakyeyune amesema pia kwamba amekuwa si mvumilivu kwa muda mrefu na asiyejali chochote na hataki kusikia jibu la hapana linapokuja suala la ngono.bibi huyo amesema kwamba pindi anapokuwa hajisikii vizuri na hawezi kufanya ngono,Sultan haelewi juu ya suala hilo,na humnunia.sultani alipoulizwa juu ya
kununa kwake alisema kwamba hamuamini mkewe na sababu anazompa hivyo anadai anamdanganya na kumnyima haki yake bure na kusema kuwa huwa hamridhishi,mara zote mwanamke huyoa amekuwa akitafuta sababu na mara moja ameshawahi kumtishia atajiua.
Sultan alimtaka mwanamke huyo amshukuru Muumba wake kwakuwa yeye ni mume mwema asiyekunywa pombe kama wengine wafanyavyo,na kumshangaa mkewe anashindwaje kumridhisha kirahisi?
Na kumuuliza mkewe bi Nyakyeyune kwanini aliwaacha wazazi na jamaa zake kama hakuwa tayari kumridhisha kingono,na kama shangazi zake ndo walomfunda na kumpeleka kwake kwa shughuli za ndoa, vipi hayuko tayari?
Inaelezwa kuwa wake wa awali wa bwana Sultan walimkimbia mwanamume huyo kwa tabia hiyo hiyo ya kutoridhika kingono,lakini baadaye Sultani alimuomba mkewe kusalia nyumbani kwa ajili ya watoto wao ili wawalee lakini mke alikataa ushawishi huo.
Chanzo.BBC
Mamamaaaaaeeee huyu atakuwa anapaka ile dawa ya wakongo putuluu..unasugua k masaa manne bila kukojoa...shkamoo mzee wangu sultan