Mke Amepotea...............Umemuon a ?.

Ana rangi gan .mweupe,mweusi,kahawia,mrefu au mfupii ,mnene au mwembamba maraa ya mwisho alivaa nguo ya rangi gn na aliondoka muda gn nyumba?anaitwa nani
 
Kuna mwanamke ninaye hapa ,kuna tatoo amejichora sehem za siri,itaje ukipatia nakurudishia..mi muungwana sana
 
unashtakiwa kwa kosa la kumchungulia mke wa mtu umeioje hiyo tatooo mbali huko
 
Yupo katikati ya fimbo na mguu wa huyo mshua.
 
Ana rangi gan .mweupe,mweusi,kahawia,mrefu au mfupii ,mnene au mwembamba maraa ya mwisho alivaa nguo ya rangi gn na aliondoka muda gn nyumba?anaitwa nani

Wa Kijani...!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…