Ninanaelewa mimi nikwamba serikali imekuwa very strategic kwenye suala la umeme.Tanesco imeingia maktaba wa dola milioni 309.26(zaidi ya tsh bilioni 673 na milioni mia sita ishirini) kujenga line ya USAFIRISHAJI ya kilometa 414 toka Isinya nchini Kenya.
Dondoo muhimu*
1.Kilometa 318 kujengwa TZ zitagharimu US dollar mil.258.82
2.kilometa 96 kujengwa kenya zitagharimu us dollar mil. 50.45
3.Kampuni zitakazojenga ni Kalpatan Power Transmission Limited ya India, Ms Bouygues Energy and Services ya Ufaransa na Energoinvest and EMS ya Yugoslavia
4.Wafadhili (wakopeshaji) Serikali ya TZ, African Development Bank (AfDB)(mkopo utakaorudishwa na riba) na Japan International Cooperation Agency (JICA)(mkopo pia kwa jina la mfadhili)
5.Muda wa mradi ni miezi 24
6.Ni mradi wa pamoja kati ya TANESCO na Kenya Transmission Company (Ketraco)
7.Unalenga kuunganisha mtandao wa umeme wa Kusini mwa Afrika (Southern African Power Pool -SAPP) na ule wa mashariki ya Afrika East African Power Pool (EAPP) kupitia njia ya kaskazini ya Zambia
Dodoso*
1.Je wakati tunahangaika na miradi ya usafirishaji umeme inayohusisha mataifa mengine uzalishaji wetu unatosheleza?
2.Nani atakayefaidika na uuzaji umeme kwani hatuna kiwango cha kutosha cha kuuza umeme kwenda nchi za nje? Kenya, Zambia au CONGO?
3.Tumetumia zaidi ya bilioni 673 kwa ajili ya kusafirsha umeme, je fedha hizo zingetumika kuzalisha umeme sisi wenyewe badala ya kununua toka Kenya tungezalisha megawati ngapi?
4.Kilometa 96 zinazojengwa Kenya nani analipia? na kama mkataba wa mauziano ya umeme yakiisha zitabaki chini ya umiliki wa nani?
5.Ina maana uongozi wa Tanesco hauna alternatives nyingine ya kuzalisha umeme kwa kutumia vyanz vya ndani kuzalisha umeme (bahati nzuri amekaririwa Mramba kwamba kuna vyanzo lukuki)?
6.Kwa nini TANESCO haisomi hsitoria na kuwa kila siku inaingia miradi tegemezi ya uzalishaji wa umeme (Symbion,IPTL nk) ambayo huingiwa kwa mbwembwe mwishowe huwa majanga?
7.Kwa nini uongozi wa Tanesco umejaa mainjinia badala ya watu/wataalam wa biashara?(finacials,marketing,admistrative nk) hawa mainjinia wangefaa wawekwe kwenye vitengo/idara za chini kulingana na ujuzi wao.
8.Gharama zilizotumika tungejenga power production plant nagpi tz?
Naombeni tujadili
source:http://www.dailynews.co.tz/index.php/home-news/54270-tanesco-project-to-benefit-kenya
Tanesco imeingia maktaba wa dola milioni 309.26(zaidi ya tsh bilioni 673 na milioni mia sita ishirini) kujenga line ya USAFIRISHAJI ya kilometa 414 toka Isinya nchini Kenya.

NGOJA NIKUSAIDIE.
1) TANESCO wanamiradi mingi ya uzalishaji wa umeme, vituo vya uzalishaji vitakapo kamilika utakuwepo umeme wa ziada ambapo TANESCO wataweza kuziuzia umeme nchi jirani.
2. Nchi zote zitafaidika, kwanza wananchi wa vijiji ambavyo miundombinu ya umeme inapita watafaidika kwa kuunganishiwa umeme, pia wananchi hufaidika kwa kupatiwa msaada wa huduma mbalimbali za kijamii kama shule kukarabatiwa, kwa wafugaji hujengewa majosho ya kunyweshea mifugo.
3.TANESCO inavyovyanzo vingi vya kuzalisha umeme, ukiachilia vyanzo vya maji kuna gesi, jotoardhi na vingine vingi.
4.TANESCO sio Shirika linaloongozwa kwa historia bali kwa mujibu wa sheria za nchi, pia kunawataalamu mbalimbali waliopo ukiachilia wahandisi kunawanasheria pia, kabla mikataba haijasainiwa wanasheria huisoma, tusipende kukosoa kilajuhudi zinazofanyika.
5.Kama nilivyo kuambia TANESCO unawatalaamu wa aina mbalimbali, inaonesha huufahamu vizuri uongozi wa TANESCO mbali ya baadhi yao kuwa ni wahandisi lakini pia wana MBA, wapo wenye finance, marketing, admitrative na mengine.
TANZANIA tulikuwa na njia za kusafirisha umeme za 220kV na sasa hivi nchi ina upgrade kwenda 400kV ili umeme mwingi uweze kusafiri.
HII ITASAIDIA
mradi huo utaboresha upatikanaji wa umeme kwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa na kaskazini mwa Tanzania ambapo utakuwa na uwezo wa kusafirisha Zaidi ya megawati 2000 kwa wakati mmoja.
Tatizo la umeme kuwa mdogo (low voltage ) litaondoaka
source:http://www.dailynews.co.tz/index.php/home-news/54270-tanesco-project-to-benefit-kenya
Tanesco siwaelewi mtu unawadai mwaka mzima wakuunganishie umeme ila hawana aibu eti shida waya sasa hiyo ela mliolipwa mlifanyia nini???? Mh Rais sijui kama hii kero ya wateja wa tanesco unaifanyia kazi au kazi ya Tanesco sio kuunganishia waliolipia hela miaka hii bali ni kurekebisha main laini hata km ni hivyo inakera mwaka mzima shirika linakosa waya sasa kazi yake ni nini au na mishahara ni hewa nasema hivyo kwa maana hawana vitendea kazi mh nakuomba MAGUFURI FIKA BUKOBA Ujionee watu wanavyofanya kazi kwa uongo na kiburi kwa maelezo zaidi nicheki nitakupa full story yaani sina hamu na tanesco Bukoba
MWENYEWE ameuona huu MKATABA ?? au MRAMBA Anapima maji kwa KIDOLE.....
NGOJA NIKUSAIDIE.MWENYEWE ameuona huu MKATABA ?? au MRAMBA Anapima maji kwa KIDOLE.....
Mkuu bado nina wasi wasi na nadharia ya faida unazosema,sina uhakika kama wewe ni mfanyakzi wa TANESCO au mtu baki kama mimi.Uzoefu wangu kwenye miradi mingi kama hii viongozi hasa wanaoingia mikataba hutaja faida kede kede na hutaja terms/vipengele vichache vya mkataba huku vile vipengele vyengine hufichwa ambavyo ndivyo baadae huleta migogoro na unyonyaji mkubwa wa fedha za TANESCO na mzigo huo hubeba watumiaji/wananchi.Faida unazotaja bado ni expectation ambazo hazina reality wakati umeme unaozalisha hautoshelezi hata hapa nyumbani, hiyo ni sawa na mtoto aanze kutembea kabla ya kutambaa na kukaa chini lazima kutakuwa na tatizo/uwalakini.Historia hutusaidia kufanya judgement sahihi ya future,kama watakuwa hawajazingatia yaliyotokea katika mikataba ya nyuma kwa kuwa eti wanafuata sheria basi watakuwa wapuuzi.Bado sikubaliani na injinia kuongoza shirika eti kwa sababu kabobea kwenye taaluma ya uhandisi wa umeme.Hiyo ni biashara na wakati huo huo ni huduma.Injinia akashike spana kwenye mitambo.NGOJA NIKUSAIDIE.