Tema Mate
Senior Member
- Dec 19, 2013
- 107
- 193
LEO HII KWENYE MKASI TV SHOW #Repost Mkasitv
・・・
.
Hakuna kipindi ambacho kimekuwa na hamasa ya kisiasa kwa vijana wa Kitanzania kama kipindi hiki cha pili cha Uongozi wa Awamu ya 4. Na moja kati ya viongozi vijana wanaotajwa sana ni Naibu Waziri wa Fedha na Mbunge wa Iramba, Mh. Mwigulu Mchemba.
Msomi wa Taaluma ya Uchumi, Mchumi aliebobea katika taaluma akiwa bado kinda, na mwanasiasa mahiri, ni moja kati ya sifa chache za Mh Nchemba. Ni hivi majuzi tu alipata kusikika akiongea kwa ukali kuhusu misamaha ya kodi kwa mashirika makubwa lakini pia akiwa na msimamo thabiti dhidi ya makosa ya Kikodi yaliyofanyika sambaba na Sakata la Akaunti ya Escrow ya Tanesco na IPTL (Tegeta Escrow) iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania.
Tulikuwa na maswali mengi....anautaka Urais? Nini mafanikio yake? Majuto? Nani "role model" wake? Kuhusu Familia?
Kwa kadri ya nafasi na uwezo, Mh Nchemba ana majibu ya maswali na hoja zetu! Na kuzisikia, ungana nasi saa 3:30 usiku, EATV pekee upate majibu ya maswali haya na mengineyo!
Shukrani kwa Coca Cola, Tusker Lager na Airtel kwa kutupa nguvu tena leo!
#MwiguluNchemba #MkasiTV
Tukutane saa 3:30 Usiku.
Chanzo:Salama Jabir

Last edited by a moderator: