ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
muwe na kiasi cha sisimko!
Mkikithirisha kusisimka mwishoe mtapizi !
nimeelewa au sijaelewa?....
mdada mmoja alitoka benki kuchukua mbolea.kufika njiani akakutana na mke wake ambaye aliachana nae miaka 2 ijayo.sasa wakati wanapanda ile pantoni akatokea trafiki akamkamata yule mbabu.akahukumiwa miaka 6 jela
Heee ni nini hiki tena?
Uuuuwiiiii.
mh..... ngoja kwanza....
usiwe unavutia bangi juani
dah! halafu ujue huyo babu aliyekamatwa ni marehemu miaka 3 iliyopita
kaka ulipotelea wapi mshenga wangu? afadhali umerudi huku moja haikai mbili haisomi
Wameshakurudisha jamviinni mkuu
maana uliahidimika kama sisimko!!
Sijatokea ban bibie ni masuala tu ya climate change!
Nisalimie warembo wenzako wote .
Kuonana tena ni majaaliwa .
Mwanajeshi wangu hata leo ni kama nimepotea njia tu!
Awali nilidhani hapa ni maalumu pa overcome stress !
Kumbe sometimes ni pa kuongeza stress!
Kuna mtu hapa alivunja my reputation kwa kiasi kikubwa sana.
Nikaamua nistep aside! Salamia sana Angel Nylon .
Narejea zimbo.
Benki na mbolea, plantoni na trafiki, kuachana miaka 2 ijayo, ...... yote haya hayafai kwenye jukwaa hili. Please Invisible,mdada mmoja alitoka benki kuchukua mbolea.kufika njiani akakutana na mke wake ambaye aliachana nae miaka 2 ijayo.sasa wakati wanapanda ile pantoni akatokea trafiki akamkamata yule mbabu.akahukumiwa miaka 6 jela
Muwe na kiasi cha sisimko!
Mkikithirisha kusisimka mwishoe mtapizi !
Sipati picha taifa la kesho litakuwaje