Mkasa: Katika ndoa kuna fimbo nyingi sana za kuchapiana

Hiyo inatokea ila nimeandika kwa kujikita na uzi. Kiufupi usioe mwanamke anayekuzidi kipato wala elimu. Nazungumzia unapotaka kuoa na siyo ndani ya ndoa.
 
Hiyo inatokea ila nimeandika kwa kujikita na uzi. Kiufupi usioe mwanamke anayekuzidi kipato wala elimu. Nazungumzia unapotaka kuoa na siyo ndani ya ndoa.
Kigezo cha kuangalia kipato kama sababu ya msingi katika kumwoa mwanamke hzo ndo Mambo za kale,kikubwa mwanamme ukisha staarabika unapaswa kuangalia IQ ya mwanamke-fikra zake na mitizamo yake juu ya maisha na juu yako binafsi na wengineo na kwa Mungu wake,na kikubwa zaid tabia.
 
Money comes and Go;but power will always last! Usiogope hela ya mtu,ogopa power yake!Rais wa nchi hana fedha nyingi zinazotufanya tumwogope;ila hata wenye fedha humwogopa kwa power yake!hvyo mwanamme lazima uondoe hizo inferiority complexes kichwani!
 
Ni rahisi sana mwanaume mwenye masters kumuoa mwanamke aliyemaliza darasa la 7 ila ni ngumu sana kwa mwanamke mwenye degree kuolewa na darasa 7. Ukimuona mwanamke anaolewa na mtu anayemzidi kipato na elimu ujue mwanamke ndiyo kapenda na siyo mwanaume au kakosa mwanaume wa kumuoa. Watu wenye mawazo kama yako imesababisha ndoa nyingi sana kuvunjika. Ukitaka kuoa tafuta mwanamke unayemzidi kipato na elimu ndiyo uanzishe naye familia tofauti na hapo hautakuwa hauna sauti kwa mwanamke. Kadri mwanamke anavyofanikiwa kifedha na elimu ndivyo anazidi kuwa na dharau.
 
umeelewa maada?? sasa huyo jamaa anakosa gani?? kama kazi ya kulinda inamuingizia kipato kwann adharauliwe??? au kosa lake ni kuacha na kufungua biashara kwa pesa ya mwanamke??
 
We mbona unakurupuka kaka, niliemjibu umeona comment yake?
umeelewa maada?? sasa huyo jamaa anakosa gani?? kama kazi ya kulinda inamuingizia kipato kwann adharauliwe??? au kosa lake ni kuacha na kufungua biashara kwa pesa ya mwanamke??
 
Linaepukika sema si ishu ya kutisha au kukufanya utishike na ndoa. Hata kama anapokea milioni tatu ww unapokea laki saba, hakikisha msosi hapo nyumbani unaleta wewe, kama umepanga kodi Lipa wewe, watoto somesha wewe. Ukibanwa sana ndo Muombe aweke assist. Assist sio afanye yeye. Yaani bora ukope asipopajua ulipe ada, kodi halafu wakati wa kulipa tafuta namna akuasist kama umeshindwa, Ila usimwache afanye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…