Kwasababu wanapenda vya bure, hata kama anayo 1m kwenye pochi yake, bado hawataki kulipia huduma.Duh, kwamba kuna wanawake wanashoboka na bajaj!!?
Tena ndio wanaipenda balaaa si unajua haramu ndio inapendwaHivi huyu kweli atawapata wateja wanawake???? Yaani hivi kweli wanawake wanaweza kupanda Bajaj yenye maandishi ya aina hii????!!!!
We unasema bajaji????? Wakat uku kwetu ata bodaboda unasalimiwa kila muda na wake za watuDuh, kwamba kuna wanawake wanashoboka na bajaj!!?
Utasoma maandishi saa ngapi? Wakati hayapo mbele ya Bajaj, after all mwanamke atakayepanda humo kama ameolewa basi atakuwa keshakanywa na mumewe.Hivi huyu kweli atawapata wateja wanawake???? Yaani hivi kweli wanawake wanaweza kupanda Bajaj yenye maandishi ya aina hii????!!!!
Hivi unawajua wanawake wewe?Hivi huyu kweli atawapata wateja wanawake???? Yaani hivi kweli wanawake wanaweza kupanda Bajaj yenye maandishi ya aina hii????!!!!
Pole sanaMbavu sina mie