Mkanganyiko: Waziri Kamwelwe ahofia noti kusambaza Corona, huku BOT walidai hazisambazi. Tushike la nani?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Noti zinasambaza virus. BOT ni wajinga na wauaji. Ndio maana wachina na ujanja wao wote walikuwa wanatumia sana cashless
 
Hakuna sababu ya msafiri kutembea na pesa mkononi, hata wanaopandia njiani ni wakati wa kuwa na pesa kwenye simu, kwa kuwa hatuna uhakika iwapo ugonjwa huu utaeneo hadi kwenye noti, ni lazima kuwa na njia nyingi za udhibiti,”- Waziri wa Ujenzi Isack Kamwelwe.
#HATUCHUJI Kwanza TV on Twitter
 
Huyu naye akajenge madaraja asianze kuchanganya watu bhana!
 
Hakuna noti duniani ambayo Inawezi kuzuia isishikwe na virusi au bakiteria ndio maana note uchakaa na kuchanika.

Zile zilikuwa siasa yaani nchi za ulaya waseme note zao zingeweza kueneza corona halafu bongo mnaotumia mashine zao tena low quality mseme zenu ni salama?

Viongozi wetu wengi ni wapumbavu na wanadhani sisi ni wapumbavu kama wao.
 
BOT walipiga siasa waliona kama Corona iko mbali sana.!
 
"....kwa kuwa hatuna uhakika iwapo ugonjwa huu utaeneo hadi kwenye noti, ni lazima kuwa na njia nyingi za udhibiti..."
Yeye mwenyewe hana uhakika,
 

Shika tu lile lililopo Ubongoni mwako pekee Ndugu na acha au usije ukathubutu kuwaamini Wanasiasa tena hawa wa Kiafrika.
 
Ni mtazamo tu, kulingana na doubt ya Mh kuhusu maabala ya taifa, itafaa zaidi Kama na fedha za Tanzania TSHS za noti kufanyia uchunguzi mpya. Isije kuwa Kuna fedha zimeshaingizwa kwenye mzunguko zikawa tayari zimebeba Corona viruses
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…