Baba Mkali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 810
- 813
Waandishi wa wapi hao? Tanzania hii? Thubutuu. Hakuna hata mmoja aliyehai leo hii mwenye huo ubavu.Waandishi wa habari aliokuwa anawasimulia haya mambo wooote walikuwa wamekula maharage ya wapi hata kushindwa kumwuliza maswali ya msingi kama hayo?
Wanajukwaa,salam,
Baada ya kumsikia waziri Mkuu wa zamani,ndugu Edward Lowassa na baada ya kusoma michango mbalimbali humu ukumbini kutoka kwa wanaomuunga mkono na wanaompinga kuhusu ''safari ya matumaini'' nahisi mkanganyiko,
1.Inasemwa kashfa ya Richmondi ilitungwa tu na akina Sitta na Dr Mwakyembe ili ku muangusha Kwenye uwaziri mkuu.Hivyo hapakuwa na kitu halisia kama Richmond scandel,ilibuniwa tu,
2.Lowassa kasema hakufanya kitu chochote kuhusu Richmond bila kumshirikisha mh.Rais.Hata alifikia hatua ya kutaka kuvunja mkataba ila hakukubaliwa.Hapa,je,huo mkataba aliotaka kuuvunja ni upi kama Richmondi ilikuwa ni kitu ya kubuni? Ina maana angevunja mkataba dhahania?
3. Ndg Lowassa anasema alikaa kimya kwa muda mrefu wa takribani miaka saba ili kuilinda Serikali (rais) na chama! Kwa hiyo hapa rais mtarajiwa anakiri kuwa mradi wa Richmond ulikuwa ni ufisadi mkubwa hata wa kuiangusha serikali! Na hivyo,je,tujue lipi,kwamba ni rais pekee ndio alikuwa mhusika wa Richmondi au Rais na Waziri mkuu wake(Lowassa) walihusika pamoja ila yeye alikaa kimya ili bosi mwingine apone(Hapa kama ndio hivyo maana yake uzalendo wake ni kwa mtu na siyo nchi?)
4.Ripoti ya kamati ya Dr.Mwakyembe ilionesha vimemo kutoka kwa PM kwenda kwa mawaziri na mpaka wabunge wa ccm wakashawishika kumhusisha Lowassa na Richmond.Ina maana hawa walikuwa hawaelewi mtego wa Sitta na Dr Mwakyembe,walikuwa wamehongwa au kipi kilitokea?
(Akina ole Sendeka,Kilango Malecela et a' nasikia wameshaungama)
Yote kwa yote,Richmondi ilikuwa kitu REAL au FAKE?
Kama ilikuwa real,Lowassa hakushiriki kabisa au alishiriki pamoja na mh.Rais ila baadae akatolewa sadaka kwa niaba ya mkuu?
Na kama alishiriki pamoja na mkuu wake kwa nafasi yake kunamfanya asiwe fisadi?
Karibuni Wajuaji,mtufumbue wengine macho.

Well said Chief.
huyo lowassa nae amelipwa 230

kwa kweli lowassa ni mwanasiasa kweli kweli yaani kamalizia kwa kauli moja tu kuwa wenye ushahidi aweke hadharani sasa watu walikuwa wanasema ni fisadi toka zamani cha ajabu mpaka sasa watu wanazungukia Richmond tu na wameshindwa kuonyesha ufisadi wake maana Richmond alituhumiwa kwa kuingilia mchakato wa zabuni kitu ambacho sio ufisadi bali utendaji mbovu.
mimi nitaendelea kuamini anachopingwa lowassa ni Ukaskazini wake basi.
Alitakiwa aseme kipi kilianza tume ya sita na Mwakyembe au richmond? Na aseme je ni chini ya uwaziri wake mkuu ndio tulikuwa giza ?
Na aseme je ndiye yeye aliyeshikiri mzabuni wa Richmond kupewa tender na kunyimwa kampuni mahiri kama GE?
Na aseme je ulikuwa mpango wake na swahiba wake Rasta aziza kuingiza Richmond nchini na Generoator za GE alizotumia Gire wakuijua ni nzima na kutumia wafanyakazi wa tanesco ku zi sabbotage ili zisiwake, kwa deal la kumkimbiza gire ilimwisho ama wazitaifishe ama wazinunue ili wao ndio wazalishe umeme kama ilivyotokea kwenda Dowans??
Aseme je deal zima lilinzia wapi?
Na aje aseme kwanini alikaa kimya muda wote huo. Na kama ni kulinda serikali za uhujumu je mangapi bado anayalinda wakati nchi inahujumiwa na kuporwa?
Kama kaweza kulinda uozo akiwa waziri atafanyaje akiwa raisi si atauza nchi kisha kulinda wahujumu??
Kama ndivyo,basi anatudanganyia nini anavyosema Aliundiwa kashfa? Anapaswa kuadhibiwa kwa ulaghai huu?
Lowasa alishiriki kwa 100% issue ya Richmond, wengi wanafikiri hiyo kitu iliibuliwa bungeni ukweli hiyo kitu iliibuka kabla ya kufika bungeni baadhi ya wazee wa chama walimwendea rais na kumwambia huyu mtu alikataliwa na baba wa taifa ila kwa urafiki wako umempa cheo kikubwa umeona anavyofanya baada ya kusikia hivyo alitaka kumfukuza lakini wakamwambia umeshafanya makosa wajanja wakaamua kuipenyeza bungeni alipojiuzulu alifikiri rais angemkatalia kumbe hakujua alishataka kumfukuza kabla ya hapo.Mtu anayetakiwa kulaumiwa juu ya mikanganyiko yote hii ni mwakyembe kwa unafiki wake,mwakyembe akiwa mwalimu wa sheria aliingiza siasa kwenye sheria alitakiwa kusema ni hatua gani zichukuliwe baada ya kugundua lowassa amefanya huo mchezo badala yake akaficha baadhi ya mambo ndio chanzo cha lowasa kuanza kujisafisha
lowasa ni mwizi wala mapoteza muda wa kumsafisha ,haiwezekani na haitawezekana kutuaminisha kuwa lowasa sio mwizi,
je na SLAA aliyemtaja kwenye list of shame na akamwambia kama anabisha aende mahakamani mbona hakujitetea ,acha ujinga wenu hapa
haya tumekusikia vizuri.vipi kuhusu utajiri wa ridhiwan na kikwete & their company unauzungumziaje? Vp tibaijuka, chenge na ngeleja? Unaonekana una taarifa za ndani ebu jimwage.