Mkanganganyiko NACTE & TCU kwa Diploma holders

Mkanganganyiko NACTE & TCU kwa Diploma holders

willy ze great

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,083
Reaction score
1,326
Inasikitisha mpaka sasa hivi watu tuliomaliza diploma na GPA zetu kubwa bado guide book haijatoka wakati TCU wametoa guide book na kuaapply washaanza hivo kufanya sisi wa diploma kutokuwahi kozi nzuri kwenye vyuo vizuri.

Kama ni NACTE au TCU ndo wanahusikia diploma tunaomba mfanye haraka jamani na sisi tuapply na tuone guide book yetu
 
Ushaambiwa subiri mpaka 31/07 guide book ya equivalents itatoka na mtaanza kuapply
 
Inasikitisha mpaka sasa hivi watu tuliomaliza diploma na GPA zetu kubwa bado guide book haijatoka wakati TCU wametoa guide book na kuaapply washaanza hivo kufanya sisi wa diploma kutokuwahi kozi nzuri kwenye vyuo vizuri. kama ni NACTE au TCU ndo wanahusikia diploma tunaomba mfanye haraka jamani na sisi tuapply na tuone guide book yetu
Mkuu ingawa sina Uhakika! Lakini Huenda Vyuo Vikawa vinamega Nafasi Maalum Kwa Ajili ya Watu Wa Diploma.
 
Anayefaham jamaaa bado wanakomalia hiyo 3.5?!
eee mkuu ata leo kipima joto waneongelea Ilo suala; GPA chini ya apo itabidi ufanye kazi miaka kadhaa afu kuna pepa utapewa ufanye then ukifaulu ndo utaingia bachelor degree.
 
Utakuja kushangaa vyuo vyote vya serikali vimejaa vitabaki vyuo vya private ada ni kubwa wengine tumeplani kujisomesha wenyewe hatutaki longolongo la mikopo,utaambiwa vyuo vimejaa chagua kingine ambacho ni private maana vyuo vya serikali vitakuwa vimejaa wakati huo,siitaki NACTE kwa hizi longolongo zetu .
 
Back
Top Bottom