Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Wote wameshindaMatokeo mengine yakoje?
Mechi zingine
Kofi na Orton
Aj na richo
Becky na Natalia
Na zingine?
Hii kitu iko staged.Katika Summer slam alfajiri ya Leo , mtanange mkali uliokuwa ukisubiliwa na wengi, moja ya pambano ni kati ya Brock Lesnar na Seth Rollins
Pambano limemalizika kwa Seth kushinda ,tofaut na matarajio ya wengi, Seth alikuja tofauti na siku zote , Aliweza kuhimili na kuzikwepa Suplex city za Block lesnar ambazo ndio silaha zake kuu,
Pamoja kuwa na injury Seth amepambana na mkanda ameurejesha ,ikumbukwe awali mkanda wa WWE UNIVERSAL ulikuwa kwa lesnar , Kwenye wrestmania Seth akauchukua , Lesnar kupitia MONEY IN THE BANK , alifanikiwa Ku cash na kumshinda Seth na kuurejesha mkanda ,hapa katikati , Lesnar alimvamia Seth na kumletea majeraha , lkn Seth hakukata tamaa kwenye kuelekea pambano la Summer slam ambalo aliahid atapambana kuurejesha mkanda wake.
Na Leo amefanikiwa hivo.
Congratulation to team Seth Rollins
He promised he would do it, and he DID! @WWERollins is your NEW #UniversalChampion!!!
#AndNew #UniversalTitle #SummerSlam @HeymanHustle @BrockLesnar View attachment 1178785
Hongera zake,Katika Summer slam alfajiri ya Leo , mtanange mkali uliokuwa ukisubiliwa na wengi, moja ya pambano ni kati ya Brock Lesnar na Seth Rollins
Pambano limemalizika kwa Seth kushinda ,tofaut na matarajio ya wengi, Seth alikuja tofauti na siku zote , Aliweza kuhimili na kuzikwepa Suplex city za Block lesnar ambazo ndio silaha zake kuu,
Pamoja kuwa na injury Seth amepambana na mkanda ameurejesha ,ikumbukwe awali mkanda wa WWE UNIVERSAL ulikuwa kwa lesnar , Kwenye wrestmania Seth akauchukua , Lesnar kupitia MONEY IN THE BANK , alifanikiwa Ku cash na kumshinda Seth na kuurejesha mkanda ,hapa katikati , Lesnar alimvamia Seth na kumletea majeraha , lkn Seth hakukata tamaa kwenye kuelekea pambano la Summer slam ambalo aliahid atapambana kuurejesha mkanda wake.
Na Leo amefanikiwa hivo.
Congratulation to team Seth Rollins
He promised he would do it, and he DID! @WWERollins is your NEW #UniversalChampion!!!
#AndNew #UniversalTitle #SummerSlam @HeymanHustle @BrockLesnar View attachment 1178785
Yaan "A" acheze na "B" kisha wote washinde?Wote wameshinda
Jana Seth alikuja tofauti ,suplex city ambayo ndio silaha kuu ya lesnar alikuwa anazirukaHii kitu iko staged.
Seth Rollings hawezi mpiga Block Lesnar hata usingizini..
Ngoja nisome tena ulichoandika...
Seth Jana alijipanga tofauti na siku zoteSafi Sana
Lisner hana nidhamu ya mchezo.
Scripted...Jana Seth alikuja tofauti ,suplex city ambayo ndio silaha kuu ya lesnar alikuwa anaziruka
Umewahi kuangalia game lake na Roman,.??Scripted...
Fans wanataka bingwa mwingine, hivyo wanatengeneza vitu kwa jicho la kawaida utasema alikuwa aaziruka, yeaah, anazruka after practicing "together" how to jump...
Congrates to Seth ila bado naamini wrestlers wa sasa hamna wa kumsumbua Lesnar..
kama kuna bingwa aliboa alikuwa Jinder na alidumu hadi alipopigwa na aj styles kibahati tuScripted...
Fans wanataka bingwa mwingine, hivyo wanatengeneza vitu kwa jicho la kawaida utasema alikuwa aaziruka, yeaah, anazruka after practicing "together" how to jump...
Congrates to Seth ila bado naamini wrestlers wa sasa hamna wa kumsumbua Lesnar..
Sio kila kitu ni scripted , kuna game nyingine ni serious, kama bingwa mwingine bas angetafutwa ,sio Seth ,maana juz tu ulikuwa kwa lesnar ukaenda kwa Seth ukarud kwa lesnar ,na Jana umerud kwa sethScripted...
Fans wanataka bingwa mwingine, hivyo wanatengeneza vitu kwa jicho la kawaida utasema alikuwa aaziruka, yeaah, anazruka after practicing "together" how to jump...
Congrates to Seth ila bado naamini wrestlers wa sasa hamna wa kumsumbua Lesnar..
Upo sahihi Seth anatumia akili sana ,lesnar sio mrahis ila Seth Mara ya pili hii anachujua mkanda kwa lesnar kwa akiliSeth anatumia akili tofauti na reign, brawnstrawman