mkanda wa deki ya laptop

mkanda wa deki ya laptop

networker

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
570
Reaction score
217
wana jamii naombeni msaada wenu ntapata wapi mkanda wa deki ya laptop dvd rw yangu imekatika.naombeni msada wenu
 
kwani wewe unapatikana wapi?nilitaka kukudirect kwa jamaa ang yupo k'koo anayo dukani kwake
 
"Mkanda wa deki ya laptop" Ndo kitu gani hiki?
 
wana jamii naombeni msaada wenu ntapata wapi mkanda wa deki ya laptop dvd rw yangu imekatika.naombeni msada wenu

Fafanua vizuri....una maananisha DVD+RW tupu/empty/blank???
 
laptop gani hiyo isiyo na jina wala detail,kwa staili hiyo kupata ni ngumu kwani maelezo hajitoshelezi.
 
ni hvi nina laptop hp 530 dvd rom yake imekatika mkanda kwa ndani haifanyi kazi tena hyo dvd rom .naulizia kama na weza pata replacement ya huo mkada kama zina uzwa .nipo kijitonyama
 
Back
Top Bottom