Mkalimani huyu anaongea Kiswahili kizuri zaidi ya Uhuru na Wakenya wote..

MK254 ndiyo pekee anaokoa jahazi la team254 jukwaa la Jamiiforums/ Kenya na taifa la Kenya kwa matumizi ya Kiswahili safi.
 
Aawapii hamfikiI huyo Mchina! Mchina huyu ana ung'eng'e wa lugha za Kitaalam..anakuambia Tafiti za Benki ya Dunia n.k..Nae huyo unayemsifia alijifunza Kiswahili Tanzania yaani walimkamua fedha kupata uwelewa wa Kiswahili hicho anachojinadi nacho.
 
Hahahahh unanikumbusha mzee mmoja alinihadithi kwa alikutana na mchina anapiga kiswahili hatari anakuchomekea Yale maneno ya kwenye kamusi kama aghalabu,abadani ,tashwishi n.k

Halafu kimenyooka safii daaah wakenya hapo midomo wazi kwa mshangao
 
Kivipi? Usishangae Kiswahili chenyewe alifunzwa na mkenya. Wako wengi sana China wakitoa haya mafunzo ya Kiswahili
 
Mbona hizi TV za Tanzania quality mbovu hivi?? Souti yenyewe unadhani inatumia Medium Amplitude modulation (AM) wave ama Frequency Modulation (FM)!! Inakera kweli!!! Hivi wabongo hutazama aje vitu aina hii??
 
Souti =sauti
 
so what... who cares? what will speaking good Swahili get you? Kenyans are more of English speakers, vernacular and sheng'...Swahili from the coast....
 
swahili natumiaga kutongozea mabint apo tz tuu...huwaga nikikaribia airport mambo ya uswahili natupa kuleeee! maana huku ughaibuni watanishangaa maze huyu mbeba boxi ata lugha ya malkia haijui? aisee tuzidi kutema yai tu haina namna..
 
Nani alisema Kiswahili ya Tanzania ndio standard?
A mature society has its own words and accents, but at the end of the day its the same language.
Kenyans have made the language their own, added new words and we don't need anyone's validation.
It also shows the flexiblity and creativity among its people.

Nyinyi waTanzania shindeni hapo mkidhani mtapata medali kuongea kiswahili kama wahenga wa kitambo.
Sisemi ni vibaya, lakini msitusumbue na lugha yetu.
 
East African Swahili Council approved Tanzanian Swahili as standard n since the most advanced there is no chance to avoid the Tanzanian Swahili!

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Hawa nadhani ni wale wa star times wote wanapiga kiswahili cha uswazi kabisa
 
Aawapii hamfikiI huyo Mchina! Mchina huyu ana ung'eng'e wa lugha za Kitaalam..anakuambia Tafiti za Benki ya Dunia n.k..Nae huyo unayemsifia alijifunza Kiswahili Tanzania yaani walimkamua fedha kupata uwelewa wa Kiswahili hicho anachojinadi nacho.
Ha Ha ! Naona kimya kingi MK254 hajajitokeza mpaka dakika hii, maana yake hoja yako imepita bila kupingwa na "nguli " wa Kiswahili MK254. Naunga mkono hoja.
 
Mbona hizi TV za Tanzania quality mbovu hivi?? Souti yenyewe unadhani inatumia Medium Amplitude modulation (AM) wave ama Frequency Modulation (FM)!! Inakera kweli!!! Hivi wabongo hutazama aje vitu aina hii??

Wewe umetazanaje?
 
Back
Top Bottom