Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,424
- 11,582
....propaganda ya zamani hii, hauna mpya!CHADEMA kife ili kipatikane chama Cha kitaifa. CHADEMA iliundwa sana kwa sura ya Wachagga. Ndio maana hata maafisa wote wa chama pale ufipa ni Wachagga. Na ndio lengo hasa la kuiua CHADEMA. Tunataka chama cha kitaifa sio kajukwaa ka kutengeneza nafasi za kazi kwa Wachagga. Kife tupate chama kipya chenye sura ya kitaifa na kitakachokuwa na aibu ya ukabila.
Ukigombea nafasi na mchagga, ndani ya CHADEMA, lt is likely that kwa 75% utakatwa uli umpishe mchagga.
Hicho chama cha kitaifa kitaundwa na Nani na kwa nini mmeshindwa kukiunda sasa? Undeni cha kwenu chenye sura mnayotaka acheni kudanganya watu wazima tunaoona kila jema na baya. Yaani chama kingine kuundwa mpaka CHADEMA ife? Mbona ACT imeundwa CHADEMA ikiwepo, mbona CCK imeundwa CHADEMA ikiwepo. Undeni hicho chama chenu cha kitaifa tuone acheni kutupigia kelele kwa msiyoyaweza.CHADEMA kife ili kipatikane chama Cha kitaifa. CHADEMA iliundwa sana kwa sura ya Wachagga. Ndio maana hata maafisa wote wa chama pale ufipa ni Wachagga. Na ndio lengo hasa la kuiua CHADEMA. Tunataka chama cha kitaifa sio kajukwaa ka kutengeneza nafasi za kazi kwa Wachagga. Kife tupate chama kipya chenye sura ya kitaifa na kitakachokuwa na aibu ya ukabila.
Ukigombea nafasi na mchagga, ndani ya CHADEMA, lt is likely that kwa 75% utakatwa uli umpishe mchagga.
CHADEMA kife ili kipatikane chama Cha kitaifa. CHADEMA iliundwa sana kwa sura ya Wachagga. Ndio maana hata maafisa wote wa chama pale ufipa ni Wachagga. Na ndio lengo hasa la kuiua CHADEMA. Tunataka chama cha kitaifa sio kajukwaa ka kutengeneza nafasi za kazi kwa Wachagga. Kife tupate chama kipya chenye sura ya kitaifa na kitakachokuwa na aibu ya ukabila.
Ukigombea nafasi na mchagga, ndani ya CHADEMA, lt is likely that kwa 75% utakatwa uli umpishe mchagga.
CHADEMA wameshindwa kutengeneza chama Taasisi kwa miaka 27. Chama kipo tu kama VICOBA.
Kama hamtaki ushauri huo wa kubadilika au kuunda chama kipya, basi kuweni tayari chama kife. Sahauni kuchukua dola.
Kimekaa ki kaskazini sana. Japo wenyewe huwa wanapinga.CHADEMA kife ili kipatikane chama Cha kitaifa. CHADEMA iliundwa sana kwa sura ya Wachagga. Ndio maana hata maafisa wote wa chama pale ufipa ni Wachagga. Na ndio lengo hasa la kuiua CHADEMA. Tunataka chama cha kitaifa sio kajukwaa ka kutengeneza nafasi za kazi kwa Wachagga. Kife tupate chama kipya chenye sura ya kitaifa na kitakachokuwa na aibu ya ukabila.
Ukigombea nafasi na mchagga, ndani ya CHADEMA, lt is likely that kwa 75% utakatwa uli umpishe mchagga.
Mkakati wa kuidhoofisha chadema uliasisiwa na Mbowe pale alipokubali kumkumbatia fisadi Lowassa na kumkacha mwanasiasa mwenye uchungu wa kweli kwa ukombozi wa watz dr msomi Slaa.
Kwa tamaa hiyo Mbowe CDM itakuwa na hali mbaya zaidi tunapoelekea 2020
CHADEMA kife ili kipatikane chama Cha kitaifa. CHADEMA iliundwa sana kwa sura ya Wachagga. Ndio maana hata maafisa wote wa chama pale ufipa ni Wachagga. Na ndio lengo hasa la kuiua CHADEMA. Tunataka chama cha kitaifa sio kajukwaa ka kutengeneza nafasi za kazi kwa Wachagga. Kife tupate chama kipya chenye sura ya kitaifa na kitakachokuwa na aibu ya ukabila.
Ukigombea nafasi na mchagga, ndani ya CHADEMA, lt is likely that kwa 75% utakatwa uli umpishe mchagga.
Akili hii nayo ni mwanachadema
Ndo maana wenye akili wameamua kunyamaza wawachie aina yenu kupiga kelele.
Kama hamtaki ushauri huo wa kubadilika au kuunda chama kipya, basi kuweni tayari chama kife. Sahauni kuchukua dola.
Nadhani mleta mada alikua akimaanisha CDM ifanyiwe overhaul kwa kuibadilisha taswira yake na kuwa chama cha kitaifa zaidi badala ya sasa hivi kuonekana kama chama cha kikanda.Hicho chama kina ngoja nini kisianzishwe sasa? Au ni sharti cdm ife kwanza kisha ndio hicho chama chenu cha kitaifa kianze?