Mkaguzi Mkuu wa Serikali amshauri Waziri wa Fedha

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,563
21,665
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Profesa. Musa Assad amemshauri Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango kubuni njia za kuhakikisha matumizi ya fedha nchini yanakuwa katika mfumo wa kadi za kuchanja.

Amesema hatua hiyo itazuia wizi na kuhakikisha kodi halisi inalipwa kutoka katika maeneo mbalimbali.

Cha kujiuliza kwanza...je huo ushauri mtakatifu atakubaliana nao????
 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Profesa. Musa Assad amemshauri Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango kubuni njia za kuhakikisha matumizi ya fedha nchini yanakuwa katika mfumo wa kadi za kuchanja.

Amesema hatua hiyo itazuia wizi na kuhakikisha kodi halisi inalipwa kutoka katika maeneo mbalimbali.

kwa nini unashauri vitu visivyowezekana kwa mazingira yetu kwa sasa msomi mzuri ni yule anayeshauri vitu vinavyowezeka
kabla ya kushauri angapeswa kujua ni watanzania wangapi wanamiliki ATM cards ,
network coverage ya nchi yetu
miundo mbinu inasapati hivyo vitu
supermarket,
mabasi yetu ,
kuinstall hiyo mifumo ya kuchanja ghara yake inakaribia na 0.22% ya bajeti yote 29.5Tri.
maana e- tickets pekee imetushinda ,
kwenye viwanja vyetu sembuse hiyo debit card ,
na tukifanya hivyo wale MA AGENTS na wapiga debe wa pale ubungo , Arusha , moshi na mwanza wakatafute cha kufanya maana amna mtu atakayenda stand kukata tickets .
 
Nikusaidie kidogo tu; kinachozungumziwa hapo ni kutotumia fedha taslimu (cash) wakati wa kulipia huduma au bidhaa.
Mwenye jukumu la kuweka mashine za kuchanjia kadi siyo serikali bali ni mwenye duka au mtoa huduma kama ambavyo supermarket kubwa zinafanya.
Hii haina uhusiano wowote na ukataji tiketi Ubungo sababu bado msafiri ataenda kwenye ofisi ya basi, atakatiwa tiketi, kisha atatoa kadi yake ili ichanjwe na hapo atakuwa amemaliza kulipa.
Tofauti ni paper money dhidi ya plastic card.
 
kama efd imeshindikana na bebit card ya kuchanja ndo itawezekana , ka network hizi za kubabAisha , si watu watakufa njaa , kuinstal miundo mbinu ya kuchaja na na efd ni ipi ina changamoto nyingi
 
Kinachosababisha miundombinu kuwa hafifu ni uzembe na kutowajibika ambao ni utamaduni uliobobea hasa serikalini. Watu wanaohusika wakiamua inawezekana hata mwezi ujao; hebu jiulize kivipi unaweza kutuma fedha kwa simu mahala popote nchini na ikafika halafu suala la malipo lishindikane wakati mfumo wa teknolojia unafanana kwa asilimia karibu mia moja.
 
Back
Top Bottom