Natafuta Masoko ya Mkaa na Mbao...Na bei zikoje. Nachana mbao za mti wa Mtondoo na Mkurungu kwa saizi zote kulingana na mahitaji ya mteja.
Nina uwezo wa kusuply gunia 200 hadi 300 kwa mwezi za mkaa...Nina vibali vyote vya wakala wa misitu (TFS) Nasikia pia kuna soko la wachina la mbao za Mkurungu...lakini sijui liko wapi.
Naomba msaada na ushauri
Pia kwa mawasiliano 0682763318
Na
Ni mbao nzuri sana zinafaa kwa frem na Ferniture...Nachana 2×10 kwa urefu wa futi 12.....lakini pia nachana kulingana na mteja anavyohitaji..
Nachana Mbao za mti wa MTONDOO na MKURUNGU