afande kifimbo JF-Expert Member Joined Aug 31, 2015 Posts 6,303 Reaction score 2,779 Oct 26, 2022 #1 Mwenye link sahihi kupata hiyo game au setup msaada. Mortal kombat 5 Deadly Alliance PC
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,223 Reaction score 44,209 Oct 26, 2022 #2 Mortal kombat 5 ipo kwenye Xbox, ps2, gamecube na gameboy advance Kama unataka kucheza kwenye pc ama simu inabidi ufanye emulation. Unadownload game na emulator unacheza.
Mortal kombat 5 ipo kwenye Xbox, ps2, gamecube na gameboy advance Kama unataka kucheza kwenye pc ama simu inabidi ufanye emulation. Unadownload game na emulator unacheza.
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,703 Reaction score 71,039 Jun 11, 2023 #3 afande kifimbo said: Mwenye link sahihi kupata hiyo game au setup msaada. Mortal kombat 5 Deadly Alliance PC Click to expand... Daah maisha haya, nilikuwa nalo hili kwenye PS 2 miaka hiyo..... Inaanza na wajuba Shang-Tsung na Quan Chi wanampa kichapo Liu Kang.
afande kifimbo said: Mwenye link sahihi kupata hiyo game au setup msaada. Mortal kombat 5 Deadly Alliance PC Click to expand... Daah maisha haya, nilikuwa nalo hili kwenye PS 2 miaka hiyo..... Inaanza na wajuba Shang-Tsung na Quan Chi wanampa kichapo Liu Kang.