Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Mkuu naomba uanzishe group la whatsapp la ku support Ukraine .
wasiwepo hawa idiots Russian.
Naomba uweke link ya WhatsApp ya kujiunga mkuu. Asante kwa Kazi nzuri .
Ni Tozo mkuuToso ziongezeke
Litakuwa group la matahaila. La kulishana upepo na fake nyuziMkuu naomba uanzishe group la whatsapp la ku support Ukraine .
wasiwepo hawa idiots Russian.
Naomba uweke link ya WhatsApp ya kujiunga mkuu. Asante kwa Kazi nzuri .
Stick your middle finger in your ass hole then smell it utajua ndio mwisho wa wash brain yakoLitakuwa group la matahaila. La kulishana upepo na fake nyuzi
@Nyamizi Watery [emoji13]hili group la wasap lipo nadhani muasisi ni @brittanica,nikiweza natuma linkJamaa anajitahidi mno kutoa updates za hii vita hasa upande wa Ukraine. Akitengeneza Group haitafanya watu wapunguze focus huku mkuu? Nafikiri aendelee kuupiga mwingi humuhumu ndani.
Kuna mmoja pia kule kwenye Thread mama huwa anatupia video tupu za Ukraine ikiichaza Russia, yule jamaa jina nimemsahau, kuna watu wanaupiga mwingi saaana humu, naomba niorodheshe kama ifuatavyo kwa wale nnaowakumbuka
1. T14 Armata
2. 4by94
3. MK254
4. mtarimbo
5. Come27
6. pureView Zeiss
7. Mrengwa wa kulia
8. kp kipanya44
9. Pietro
10. HIMARS
11. vunjo
Aika maye kwa kuniita . Ngoja niwasiliane na wakuu upigwe banSasa Mavindozii kwanini hukumfwata pm huyo mwehu mwenzio MTK 254 ?
Jamaa anajitahidi mno kutoa updates za hii vita hasa upande wa Ukraine. Akitengeneza Group haitafanya watu wapunguze focus huku mkuu? Nafikiri aendelee kuupiga mwingi humuhumu ndani.
Kuna mmoja pia kule kwenye Thread mama huwa anatupia video tupu za Ukraine ikiichaza Russia, yule jamaa jina nimemsahau, kuna watu wanaupiga mwingi saaana humu, naomba niorodheshe kama ifuatavyo kwa wale nnaowakumbuka
1. T14 Armata
2. 4by94
3. MK254
4. mtarimbo
5. Come27
6. pureView Zeiss
7. Mrengwa wa kulia
8. kp kipanya44
9. Pietro
10. HIMARS
11. vunjo
12. Yoda