msaada jinsi ya kuunganisha emmanuel tv. ...... nina decoder ya azam....but haina hiyo chanel startimes haikamati haya mazingira niliyopo nifanyaje jamani msaada wenu wadau
Hutaweza ndugu kujiongezea hiyo chanel ya emmanuel pia hawa azam tv na startimes hawawezi kuweka zaidi mambo ya imani ila digitek wanayo ipo poa nunua icho au weka dish kubwa upate free
msaada jinsi ya kuunganisha emmanuel tv. ...... nina decoder ya azam....but haina hiyo chanel startimes haikamati haya mazingira niliyopo nifanyaje jamani msaada wenu wadau
@isilokabwe:mkuu dish aina gani nina decoder ya star times baada ya kuzingua nimenunua azam tv..... bt nayo haina.... naweza tumia dish la eurostar nielekeze inakuwaje???
msaada jinsi ya kuunganisha emmanuel tv. ...... nina decoder ya azam....but haina hiyo chanel startimes haikamati haya mazingira niliyopo nifanyaje jamani msaada wenu wadau
Emanuel tv inapatikana ktk 68.5 east na sidhani kama kuna sattelite iliyo karibu na azam yenye emanuel tv. kama ni hivyo yapaswa ununue dish jingine ndipo upate hiyo channel au kama una dish kubwa la ft 6 basi ongeza lnb ya ku.
Likwanda:nipo mbeya town nafanyaje sijakupata kuhusu huo ukaribu wa satelite ni kiedit na kuadd hiyo freguency kwenye azam tv inawezekana nikaipata emanuel