Mtu yeyote anayejua programming anisaidie hili tatizo najaribu kucreate apps za android kwa kutumia html, css & javascript. Kuna file flan inatwa cordova 2.0.0 natakiwa niiattach kwenye hiyo html so nimekwama hapo sijui niweke vp maana nimejaribu kuweka mwanzoni napoanza kuandika html codes kwenye head tag imegoma pia. Naomba msaada ktk hilo.