Mimi Nina issue tofauti kidogo!!
Kuna flash na memory card orginal za class 10 ila walionipa wameweka video flan hambazo hawataki zifutwe .
Sasa nimejaribu njia zote kuziformat ili nitumie kwa mambo mengine lakini hazikubali pia ukizifuta video hizo zinakuwa deleted ila ukichomoa na kuchomeka flash zinarudi.
Je teknolojia gani imetumika hapa na namna gani naweza kuufyatua huu mtego?
CC
Chief-Mkwawa Joe Nyandigira Njunwa Wamavoko Mwl.RCT na expert wengineo