GE2025 Mjumbe wa SADC: Tangu nimefika Tanzania sijapewa mlinzi, Kwangu hicho ni kiashiria kwamba kuelekea Uchaguzi Mkuu kuna amani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Si kwamba hakuna amani ipo lakini kuna uvunjifu mkubwa sana wa haki na hivi sasa kumetawala sana hofu kwa wananchi.

Najua watakuhendo vizuri kwa sababu ni mgeni lakini tulio ndani tunajua kinachoelendelea. Ila nikupashe habari kwamba hata hiyo siku ya uchaguzi kutafanyika maandamano makubwa sana ya kuikomboa nchi yetu!
=============
Hali ya ulinzi na usalama nchini inaridhisha licha ya kwamba zimebaki siku chache kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu.

Kauli hiyo imetolewa leo Oktoba 21 na Spika Mstaafu wa Malawi, Richard Msowoya ambaye anaongoza Ujumbe wa Uangalizi wa Uchaguzi wa SADC katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania (SEOM) wakati wa ufunguzi wa ujumbe huo jijini Dar es Salaam.

“Unapoingia nchi husika kama Mkuu wa Ujumbe wa Uchaguzi na ukapewa walinzi ishirini suala hilo huashiria mambo hayako sawa. Lakini tangu nimefika Tanzania sijapewa mlinzi yeyote na hakuna aliyetamka neno lolote baya, wala sijasukumwa wala hakuna aliyenizuia kwenda popote. Kwangu hicho ni kiashiria kwamba kuelekea Uchaguzi Mkuu kuna amani nchini humu,” amesema.
 
30 October 2025
Unguja, Zanzibar

ZANZIBAR ELECTION RESULTS 2025 BY ZEC AND OBSERVERS REPORT

View: https://m.youtube.com/watch?v=RJQWUUsGank

TOKA MAKTABA :

15 October 2025

Sadcmf.sadc_

File photo: SADC
In accordance with Article 3 of the revised SADC Principles and Guidelines Governing Democratic Elections (2021), SADC shall observe all general elections held in its Member States. As per the standard practice of observing general elections in all SADC Member States, the Government of the United Republic of Tanzania invited the SADC Electoral Observation Mission (SEOM) to observe the country’s upcoming Presidential, Parliamentary and Local Government Elections (General Election) scheduled for the 29th of October 2025.

In accordance with the SADC Principles and Guidelines Governing Democratic Elections (2021), His Excellency Professor Arthur Peter Mutharika, President of the Republic of Malawi and Chairperson of the SADC Organ on Politics, Defence and Security Cooperation, has appointed Honourable Richard Msowoya, former Speaker of Parliament of the Republic of Malawi as the Head of the SEOM.

The Chairperson of the Organ also mandated the SADC Secretariat, led by His Excellency Mr. Elias M. Magosi, the Executive Secretary of SADC, to coordinate the SEOM, including facilitation of in-country deployment of observers. The SADC Secretariat support team arrived in Dar es Salaam on 13th October 2025 to prepare logistics for the Mission.

The SEOM will observe the country’s pre-election phase, polling day and post-election processes. The Mission’s objective is to assess the conduct of the elections in accordance with the Revised SADC Principles and Guidelines Governing Democratic Elections of (2021). These principles emphasise the importance of citizen participation in the democratic and development processes, the implementation of measures to prevent political violence, intimidation, and intolerance, and the promotion of equal opportunities for all political parties to access the State Media and for all citizens to access information. Furthermore, the Mission emphasises the importance of acknowledging and respecting the election outcomes by all political entities.

To promote electoral integrity, electoral justice, good governance, peace and stability in the SADC region, and to give effect to the commitment contained in the SADC Principles and Guidelines, the launch of SEOM will include various election awareness activities for the electoral stakeholders to learn and appreciate the work of the SEOM.

Among the key activities, the SEOM will undertake consultations with a broad range of key electoral stakeholders such as the Independent Electoral Commission (IEC), relevant Government Departments, Political Parties, Diplomatic Community, Civil Society Organisations (CSOs), Non-Governmental Organisations (NGOs), Women and Youth Organisations etc., in order to gain deeper understanding of amongst other, the political and security context, the Constitutional and Legal Framework governing the elections, preparedness and readiness of the IEC to conduct the 2025 General Election.

The key activities for the SEOM programme of schedule comprises the following;

Sadcemtz.sadc_

Source: SADC
 
Si kwamba hakuna amani ipo lakini kuna uvunjifu mkubwa sana wa haki na hivi sasa kumetawala sana hofu kwa wananchi.

Najua watakuhendo vizuri kwa sababu ni mgeni lakini tulio ndani tunajua kinachoelendelea. Ila nikupashe habari kwamba hata hiyo siku ya uchaguzi kutafanyika maandamano makubwa sana ya kuikomboa nchi yetu!
=============
Hali ya ulinzi na usalama nchini inaridhisha licha ya kwamba zimebaki siku chache kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu.

Kauli hiyo imetolewa leo Oktoba 21 na Spika Mstaafu wa Malawi, Richard Msowoya ambaye anaongoza Ujumbe wa Uangalizi wa Uchaguzi wa SADC katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania (SEOM) wakati wa ufunguzi wa ujumbe huo jijini Dar es Salaam.

“Unapoingia nchi husika kama Mkuu wa Ujumbe wa Uchaguzi na ukapewa walinzi ishirini suala hilo huashiria mambo hayako sawa. Lakini tangu nimefika Tanzania sijapewa mlinzi yeyote na hakuna aliyetamka neno lolote baya, wala sijasukumwa wala hakuna aliyenizuia kwenda popote. Kwangu hicho ni kiashiria kwamba kuelekea Uchaguzi Mkuu kuna amani nchini humu,” amesema.
Vipi leo ripoti yake inasemaje?
 
The SEOM will observe the country’s pre-election phase, polling day and post-election processes. The Mission’s objective is to assess the conduct of the elections in accordance with the Revised SADC Principles and Guidelines Governing Democratic Elections of (2021). These principles emphasise the importance of citizen participation in the democratic and development processes, the implementation of measures to prevent political violence, intimidation, and intolerance, and the promotion of equal opportunities for all political parties to access the State Media and for all citizens to access information.

Media shutdown in the United Republic of Tanzania, no access to Internet

30 October 2025

Protests erupt in various towns in Tanzania as low voter turn out is reported countrywide 2025 general elections

View: https://m.youtube.com/watch?v=AmkppvJa5xQ
 
Si kwamba hakuna amani ipo lakini kuna uvunjifu mkubwa sana wa haki na hivi sasa kumetawala sana hofu kwa wananchi.

Najua watakuhendo vizuri kwa sababu ni mgeni lakini tulio ndani tunajua kinachoelendelea. Ila nikupashe habari kwamba hata hiyo siku ya uchaguzi kutafanyika maandamano makubwa sana ya kuikomboa nchi yetu!
=============
Hali ya ulinzi na usalama nchini inaridhisha licha ya kwamba zimebaki siku chache kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu.

Kauli hiyo imetolewa leo Oktoba 21 na Spika Mstaafu wa Malawi, Richard Msowoya ambaye anaongoza Ujumbe wa Uangalizi wa Uchaguzi wa SADC katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania (SEOM) wakati wa ufunguzi wa ujumbe huo jijini Dar es Salaam.

“Unapoingia nchi husika kama Mkuu wa Ujumbe wa Uchaguzi na ukapewa walinzi ishirini suala hilo huashiria mambo hayako sawa. Lakini tangu nimefika Tanzania sijapewa mlinzi yeyote na hakuna aliyetamka neno lolote baya, wala sijasukumwa wala hakuna aliyenizuia kwenda popote. Kwangu hicho ni kiashiria kwamba kuelekea Uchaguzi Mkuu kuna amani nchini humu,” amesema.

Aulizwe tena leo kama bado atasema hayo hayo aliyoyasema huko nyuma.
 
Huyu mpumbavu sijui anaongea kitu gani? Hawa wamelipwa na Samia kuwepo hapo sasa wanaropa bila aibu. Kwani unahitaji ulinzi wa nini? Tanzania hatuna shida na ninyi tuna shida na hili limama lenye tumbo kama gunia, hatulitaki. Aondoke.
 
30 October 2025
Unguja, Zanzibar

RIPOTI YA AWALI YA WAANGALIZI WA UCHAGUZI ZANZIBAR 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=Lx2vINZPOMA

Muungano wa Asasi Za Kiraia 31 ambao ni Waangalizi wa Uchaguzi 2025 Zanzibar wametoa tathmini ya awali ya uchaguzi uliofanyika Zanzibar na Tanzania bara kuwa wameridhishwa na hali ya uchaguzi unaondelea nchini.
 
03 November 2025

Umoja wa Ulaya EU, SADC wabaini mapungufu makubwa katika mchakato mzima wa uchaguzi 2025 katika ripoti yao ya awali, huku Rais Suluhu akiapishwa mjini Dodoma kwa madai ya ushindi wa asilimia 97.66

EU European Union, SADC poke holes into Tanzania's election as President Suluhu sworn in in Dodoma

View: https://m.youtube.com/watch?v=m_DBklh6moA
 
Back
Top Bottom